Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli hata mimi nimeshangaa sana dume zima eti linalia mambo ya kipumbavu kabisa aya ni udhalilishaji wa wanaume huuNmeona hii Video nkashangaa sana. Huyu kijana mvulana analia kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake? Ametokea mkoa gani fala huyu? Mwishowe sisi wanaume wa mjini tunaonekana nasi ni mauza uza kama huyu fala.
Mwanaume huwezi lia hivi... Unalia kwa kwikwi mpaka mwanamke anakubembeleza? Sisi miaka yetu huyu angetengwa na jamii.mwanaume ilikuwa ni aibu kulia hadharani.
Unaliaje mbele mtu ambaye atakuwa mkeo na watu wapo? Unalia kwa kwikwi hivi kama huamini?mi nlizoea kuona wanawake wanalia hivi si wanaume.huyu jamaa ana tabia za kishoga bila shaka.
Kweli kabisa wivu na uchawiAkili za intaprinyuwa hizi! Kwani akionesha hisia zake kwa mkewe shida nini!!?
Wivu na uchawi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona uyo n wa mkoani sasaHaha haha haha hahaaaaaaa..... Wanaume wa Dar wanazidi kuongezeka kila kukicha[emoji23][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubali mwanaume analia lkn pale hakukuwa na hisia zozote.
Ili uwe mwanaume wa Dar unatakiwa kuwa na sifa zipi?
Kwa ushamba ule yule n limbuken la darIli uwe mwanaume wa Dar unatakiwa kuwa na sifa zipi?
-Uwe umezaliwa dar?
-Makabila ya Dar yan uwe mzaramo? Maana hawa ndio wenye dar wenyew wengine wahamiaji.
-Au umeishi dar kwa takribani miaka 5 na kuendelea?
Hebu mtujuze hapo.
-
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks Mkuu, sikuwa nimeona.Inaitwa Idle, idol ni kitu kingine kabisa
Ni sign ya weakness kubwa
Mc pilipili ameishusha hadhi ya kiume .
Upige goti halafu unalia pia why!!!?
Aisee wife atapiga yeye goti na nitampa hint kabisa
"Aisee utapiga goti wakati nakuvalisha Pete.."
Akikataa tutasimama kama minara wote wawili
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anapangiwa jinsi ya kula tundiBikra ikishatolewa haitaitwa tena bikra bali ni historia iliyokwisha kupita na wakati.
MC Tatutatu ni jinga la kimataifa kabisa, tena pumbavu sanaaaa.
Mwanaume huna kifua cha kukomaa kuficha upumbavu mbele za watu?
Sasa hapo ni mbele ya kadamnasi ndiyo analia hivi je chumbani si ndiyo atakuwa anagaragara kabisa kulilia papuchi na huyo Mke?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeangalia clip naona kama tendo la kulia lilitibua na hata bibie alisononeka sana na baada ya hapo hakuwa na furahaWalimuoma hana hadhi eti wanataka kudanga Nicole Franklin alimkimbia matokeo yake mbunge aliye mpa mimba kamtelekeza
Sent using Jamii Forums mobile app