Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Tatizo tumejijengea mwanaume hatakiwi kulia wakati wanaume wako sensitive and vulnerable Kama sisi tu,mie ningependa mwanaume wangu alie tena kwa yowe,yewoooomiiii
Yaani sisi watu wa ajabu sana. Unaweza kuta huyu aliyeanzisha hii mada pia huwa analia na kupiga magoti akiwa faragha na mwenzi wake Ila hapa kwa vile yupo nyuma ya keyboard anajifanya yeye mgumu. Sasa tunamsema Pilipili kwa vile tumemuona vipi kuhusu sisi tusiyewahi kuonwa. Kulia si tatizo kwani kila mtu anareaction zake kwa kila jambo linalomtoke katika maisha hivyo unavyomuona pilipili boya pia wengine wanakuona boya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wa kiafrika kuna maujinga mengi sana mnejijaza kuhusu uanaume wenu. Upuuzi mtupu.
 
Huyu ni wa mkoani halafu watu wenye tabis za ajabu ajabu 90% ni wa kutoka mikoani
Acha ujinga ww, Mwanaume yupi wa mikoani aliwahi kulia mbele za Wakwe?

Aliwahi kumpigia magoti Mchumba wake kwa kumvalisha pete?

Aliwahi kurembua macho kama demu akiongea na Mwanamke?

Aliwahi kula chipsi kuku na mayai ya kizungu yasiyo na baba wala mama bali ni kemikali tupu?

Anayeongea sauti ya 3 mbele za Mke akiwa anabembeleza nakati alibalehe ili awe dume kiuhalisia kwa kutoongea sauti za kimama mama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Back
Top Bottom