Kweli nimeamini umri sio kitu chochote cha maana katika maisha yaani hapa nimeona wamiliki wa lile gorofa kko aisee mmoja tu ndio mkubwa nimemzidi miaka 15 wengine ni vijana wadogo kabisa aiseee yaani miaka midogo hivi unamiliki nyumba kko daaah aya maisha ayako fear kabisa nimelia sana
Wapo hata 25 wanamiliki vitu vikubwa mno , la muhimu fanya yako tu mkuu.38 sio 39
Umefika 75? Kweli.?Mimi hapa nina 75yrs na bado sijakata tamaa....napambana.
Kuna vijana wadogo pia wana miaka chini ya 8 wanafariki kila siku,vipi hauwatamani?,nao?,.........Kweli nimeamini umri sio kitu chochote cha maana katika maisha yaani hapa nimeona wamiliki wa lile gorofa kko aisee mmoja tu ndio mkubwa nimemzidi miaka 15 wengine ni vijana wadogo kabisa aiseee yaani miaka midogo hivi unamiliki nyumba kko daaah aya maisha ayako fear kabisa nimelia sana
Yap! Kwa msaada wa Dk Janabi.Umefika 75? Kweli.?
Unaendesha boda bodaMimi hapa nina 75yrs na bado sijakata tamaa....napambana.
Dah! Umewaza nini lakini, mkuu? Mbona umemshushia kipondo kizito huyu komredi?Kuna vijana wadogo pia wana miaka chini ya 8 wanafiriki kila siku,vipi hauwatamani?,nao?,.........
Umejiuliza kwanza wametoa wapi pesa?Kweli nimeamini umri sio kitu chochote cha maana katika maisha yaani hapa nimeona wamiliki wa lile gorofa kko aisee mmoja tu ndio mkubwa nimemzidi miaka 15 wengine ni vijana wadogo kabisa aiseee yaani miaka midogo hivi unamiliki nyumba kko daaah aya maisha ayako fear kabisa nimelia sana
Nyamaza kulia nikwambie mmiliki halali wa hilo ghorofa, achana na huyo dogo wanamsingizia!Kweli nimeamini umri sio kitu chochote cha maana katika maisha yaani hapa nimeona wamiliki wa lile gorofa kko aisee mmoja tu ndio mkubwa nimemzidi miaka 15 wengine ni vijana wadogo kabisa aiseee yaani miaka midogo hivi unamiliki nyumba kko daaah aya maisha ayako fear kabisa nimelia sana
Sasa mwenzake na wao ameona ameshindwa mechi ya nyumbani. Away, itakuwaje?Hicho ndo kitu cha kukuliza kweli, kila mtu ashinde mechi zake, maisha yasonge