Yaani kijana miaka 39 unamiliki gorofa Kariakoo kweli jamani hii ni haki sisi wazee tupo tu

Yaani kijana miaka 39 unamiliki gorofa Kariakoo kweli jamani hii ni haki sisi wazee tupo tu

Kila mtu ana destiny yake Wala usihuzunike ! Asset pekee ambayo unatakiwa usikose katika maisha yako ni good health, mengine ni nyongeza
 
Kweli nimeamini umri sio kitu chochote cha maana katika maisha yaani hapa nimeona wamiliki wa lile gorofa kko aisee mmoja tu ndio mkubwa nimemzidi miaka 15 wengine ni vijana wadogo kabisa aiseee yaani miaka midogo hivi unamiliki nyumba kko daaah aya maisha ayako fear kabisa nimelia sana

Kila mtu duniani ana malengo yake. Wewe umewahi kuwa na malengo ya kuwa na ghorofa Kariakoo?
Mbali na ghorofa ya kuishi wewe.
 
Kweli nimeamini umri sio kitu chochote cha maana katika maisha yaani hapa nimeona wamiliki wa lile gorofa kko aisee mmoja tu ndio mkubwa nimemzidi miaka 15 wengine ni vijana wadogo kabisa aiseee yaani miaka midogo hivi unamiliki nyumba kko daaah aya maisha ayako fear kabisa nimelia sana
Kuna mtu anazeeka hadi kufa hana hata kibanda cha miguu mitano kwa mitano. Kwahiyo na huyo tumsubiri mpaka ajitambue? Hawa vijana wadogo wanaomiliki ukwasi mkubwa kwa umri chini ya miaka 40, hela wameikuta ndani ya familia. Ebu waza tangu Nyerere mpaka sasa, familia za mawaziri, mameneja wa taasisi za umma na binafsi, makatibu wakuu, wafabiashara wakubwa, nk, watoto wao au wajukuu wao mtafanana? Haiwezekani! Wakati unapambana kununua kiwanja ujenge nyumba yako, mwingine nyumba, magari, mtaji wa biashara, hata mke anapewa na baba! Wakati wewe baba yako huko "Tandaimba" kijijini choka mbaya anasubiri upange vyumba viwili aje akutembee au ukoo mzima itie timu!
 
Kweli nimeamini umri sio kitu chochote cha maana katika maisha yaani hapa nimeona wamiliki wa lile gorofa kko aisee mmoja tu ndio mkubwa nimemzidi miaka 15 wengine ni vijana wadogo kabisa aiseee yaani miaka midogo hivi unamiliki nyumba kko daaah aya maisha ayako fear kabisa nimelia sana
Bila kukomboa Nchi mikononi mwa watu wachache mafisadi na wezi wa kura, uchumi wa Nchi utaendelea kuwa mikononi mwa wachache.
 
We endelea kulia ukinyamaza,utakuta anamiliki treni na reli yake,unaacha kutafuta Hela unalia,nyambafu
 
Aisee hiki kipondo si Cha kawaida; bila shaka huko aliko anabubujikwa na machozi kama Yale yambubujikayo Lucas Mwashambwa mara alisikiapo jina la mama Samia.
Dah! Umewaza nini lakini, mkuu? Mbona umemshushia kipondo kizito huyu komredi?
 
Bila kukomboa Nchi mikononi mwa watu wachache mafisadi na wezi wa kura, uchumi wa Nchi utaendelea kuwa mikononi mwa wachache.
Unless urejeshe ujamaa, hata ufanyaje, bado uchumi utakuwa mikononi mwa watu wachache sanaaaa
 
Kuna watu wana miaka 20 - 25 na hawana Mali za kurithi ni nguvu zao wanamiliki hotels kubwa Sana zenye hadhi ya 🌟 5....
 
Kawaida bro! Boss wangu wazamani, ana miaka 36,nimemzidi mwaka, wakati Mimi bado nafukuzia ajira, ye ye ana kampuni kaajiri watu 70+nyumbani kwake anatumia luku za Tsh 400K, mie kwangu ni kitumia wa 40K, ni mwingi Sana, unapindukia mwezi mwingine, hata ka IsT Sina, yeye anaagiza ndinga cruzer v8 ya 400Milioni!
Ndio maana niliona ni upuuzi ni kapiga kazi chini! Kabla sijaacha kuna mtu aliniambia haya maneno, "hapa ofcn unaishi na kula kwa akili ya mtu mwingine, kijana mwenzio, yaani kijana mwenzio ametumia akili yake, akaanzisha kampuni, akakuajiri"haya maneno yaliniuma Sana!
Bila shaka nawe upo unaipambania kukuza kampuni yako kwa sasa. Mimi naomba ka ajira!
 
Back
Top Bottom