Yaani kijana miaka 39 unamiliki gorofa Kariakoo kweli jamani hii ni haki sisi wazee tupo tu

Yaani kijana miaka 39 unamiliki gorofa Kariakoo kweli jamani hii ni haki sisi wazee tupo tu

Kwa waarabu inawezekana Sana those guys are very smart and visionary.

Age is nothing but a number .

Kuna watu wapo ahead of the time

Mwaka 2019 nilikuwa kibarua
(saidia fundi) katika Nyumba ya ghorofa 3 Kwa Kijana mwenye 35 years

So everything is possible in this life .
 
Mkuu everything is connected kuna watu they came from the luckiest family .

Hawajui njaa
Hwajui shida
Hawajui Magonjwa na mateso

Kila wanachofanya kinakubali 100% .

At the age of 38 yrs kumiliki ghorofa kariakoo is possible
 
Kwa waarabu inawezekana Sana those guys are very smart and visionary.

Age is nothing but a number .

Kuna watu wapo ahead of the time

Mwaka 2019 nilikuwa kibarua
(saidia fundi) katika Nyumba ya ghorofa 3 Kwa Kijana mwenye 35 years

So everything is possible in this life .
Ss weusi tunaambiwa tujitahidi kusoma ili tulate kaz nzur na kule juu kuna mtt wa baba
Mdogo atanivuta
 
Kweli nimeamini umri sio kitu chochote cha maana katika maisha yaani hapa nimeona wamiliki wa lile gorofa kko aisee mmoja tu ndio mkubwa nimemzidi miaka 15 wengine ni vijana wadogo kabisa aiseee yaani miaka midogo hivi unamiliki nyumba kko daaah aya maisha ayako fear kabisa nimelia sana
Kawaida bro! Boss wangu wazamani, ana miaka 36,nimemzidi mwaka, wakati Mimi bado nafukuzia ajira, ye ye ana kampuni kaajiri watu 70+nyumbani kwake anatumia luku za Tsh 400K, mie kwangu ni kitumia wa 40K, ni mwingi Sana, unapindukia mwezi mwingine, hata ka IsT Sina, yeye anaagiza ndinga cruzer v8 ya 400Milioni!
Ndio maana niliona ni upuuzi ni kapiga kazi chini! Kabla sijaacha kuna mtu aliniambia haya maneno, "hapa ofcn unaishi na kula kwa akili ya mtu mwingine, kijana mwenzio, yaani kijana mwenzio ametumia akili yake, akaanzisha kampuni, akakuajiri"haya maneno yaliniuma Sana!
 
Wakati wewe unapiga shule kuanzia primary, secondary, chuo na masters ili upande vyeo, mwenzako akiwa na miama 15 alianza kuchakarika Kariakoo, leo na miaka yake 39 ana uzoefu wa biashara miaka 25 😂😂😂
 
ww jamaa una akili ndogo sana pia una wivu wa kijinga..kuwa mali katika umri mdogo inategemea umezaliwa ukoo gani kuna familia mali na pesa zipo kwao toka vizazi na vizazi wanazaliwa pesa ipo..na hawa washtakiwa hata majina na rangi zao tu ni wale wa asili ya kiasia dizaini ya kina mo dewji,manji na bakhresa ukoo mzima hauna njaa mali zinaanzia kwa mababu hadi wajukuu wanaziendeleza wao ni kuweka msingi tu..sasa mtoa mada unajilinganisha kwa lipi na wale waliozaliwa familia zenye pesa zaidi ya kujitia uchuro tu..ww tazama uliwaowazidi upate kushukuru neema ulizopewa na muumba ila ukiangalia waliokuzidi huwezi kushukuru mazuri aliyokupa mungu lazima utakukufuru tu
 
UKITAKA KUJUA MMILIKI UTAJAMBA SIO KULIA TENAAA JINSI UTAKAVYOOCHEKAA
 
Aya maisha kwa jumla ayako fear watu tunapambana sana aisee lakini patupu mtu ana miaka 38 ana gorofa kko mtu anakuja kuandika utumbo eti kawaida sana huyu kamaliza chuo lini kaanza kazi lini
Mnafikiri kila mtu anapitia elimu ya chuo.

Hushangai kagame akiwa na miaka 25 alikuwa mkuu wa jeshi la RPF rwanda
 
Kweli nimeamini umri sio kitu chochote cha maana katika maisha yaani hapa nimeona wamiliki wa lile gorofa kko aisee mmoja tu ndio mkubwa nimemzidi miaka 15 wengine ni vijana wadogo kabisa aiseee yaani miaka midogo hivi unamiliki nyumba kko daaah aya maisha ayako fear kabisa nimelia sana
Unalia lia nini na utajiri umeukalia? Nikupe namba ya Diddy?
 
Kweli nimeamini umri sio kitu chochote cha maana katika maisha yaani hapa nimeona wamiliki wa lile gorofa kko aisee mmoja tu ndio mkubwa nimemzidi miaka 15 wengine ni vijana wadogo kabisa aiseee yaani miaka midogo hivi unamiliki nyumba kko daaah aya maisha ayako fear kabisa nimelia sana
Baba zao hawakuwa wapenda starehe waliwahi viwanja na kujenga assets leo ndio vijana wao wanarithi kwa mbwembwe na kujitabanisha kwamba ni ya kwao kwa jasho lao kumbe waliwezeshwa ........sasa kama baba yako alipenda kulomba misamba akasahau kama mwanawe nguvu mali unakuja na utakuwa mkubwa shauri zako
 
Back
Top Bottom