Yaani kijana miaka 39 unamiliki gorofa Kariakoo kweli jamani hii ni haki sisi wazee tupo tu

Kila mtu ana destiny yake Wala usihuzunike ! Asset pekee ambayo unatakiwa usikose katika maisha yako ni good health, mengine ni nyongeza
 

Kila mtu duniani ana malengo yake. Wewe umewahi kuwa na malengo ya kuwa na ghorofa Kariakoo?
Mbali na ghorofa ya kuishi wewe.
 
Kuna mtu anazeeka hadi kufa hana hata kibanda cha miguu mitano kwa mitano. Kwahiyo na huyo tumsubiri mpaka ajitambue? Hawa vijana wadogo wanaomiliki ukwasi mkubwa kwa umri chini ya miaka 40, hela wameikuta ndani ya familia. Ebu waza tangu Nyerere mpaka sasa, familia za mawaziri, mameneja wa taasisi za umma na binafsi, makatibu wakuu, wafabiashara wakubwa, nk, watoto wao au wajukuu wao mtafanana? Haiwezekani! Wakati unapambana kununua kiwanja ujenge nyumba yako, mwingine nyumba, magari, mtaji wa biashara, hata mke anapewa na baba! Wakati wewe baba yako huko "Tandaimba" kijijini choka mbaya anasubiri upange vyumba viwili aje akutembee au ukoo mzima itie timu!
 
Bila kukomboa Nchi mikononi mwa watu wachache mafisadi na wezi wa kura, uchumi wa Nchi utaendelea kuwa mikononi mwa wachache.
 
We endelea kulia ukinyamaza,utakuta anamiliki treni na reli yake,unaacha kutafuta Hela unalia,nyambafu
 
Aisee hiki kipondo si Cha kawaida; bila shaka huko aliko anabubujikwa na machozi kama Yale yambubujikayo Lucas Mwashambwa mara alisikiapo jina la mama Samia.
Dah! Umewaza nini lakini, mkuu? Mbona umemshushia kipondo kizito huyu komredi?
 
Bila kukomboa Nchi mikononi mwa watu wachache mafisadi na wezi wa kura, uchumi wa Nchi utaendelea kuwa mikononi mwa wachache.
Unless urejeshe ujamaa, hata ufanyaje, bado uchumi utakuwa mikononi mwa watu wachache sanaaaa
 
Kuna watu wana miaka 20 - 25 na hawana Mali za kurithi ni nguvu zao wanamiliki hotels kubwa Sana zenye hadhi ya 🌟 5....
 
Bila shaka nawe upo unaipambania kukuza kampuni yako kwa sasa. Mimi naomba ka ajira!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…