Yaani kijana miaka 39 unamiliki gorofa Kariakoo kweli jamani hii ni haki sisi wazee tupo tu


Labda "horofa la ulisi".
 
mbona dayamondi wa 1988( 35) ana uwezo wa kumiliki ghorofa hapo hapo K/koo.
 
Amna cha ajabu mkuu.
Mbona mimi nina miaka 25 nina wake wawili na nina ukimwi haulii.
 
unaweza piga kelele huna ajira kumbe ni wewe na demu wako tu, shabiby alinunua bus la kwanza akiwa na miaka 21, miaka 28 ana bus tano,
 
Ata mimi ni kijana mdogo sana na nyota ya utajiri inaninyemelea punde si punde mtakuwa mnanisema😎😎
 
Unalia Nini?
Kwani wewe huna chochote unachomiliki?
Siyo lazima wote tumiliki gorofa.
 
Pambana usiangalie maisha ya mtu huwezi faham hzo hela kazipata vip...Swali langu la mzingi....Umesema wewe sahvi umezeeka,, Je Wakati wa ujana wako ulikula na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…