Yaani umefunga halafu unaenda kutafuta wanaopika na kula? Inawezekana Mungu huwa anacheka sana akiangalia haya maigizo

😂🤣
Hii dunia ina maajabu mengi, yaani jitu limeshindwa kukaa kwake liswali linaamua kubeba fimbo likatafute wanaokula jasho lao vibarazani.Asilimia kubwa wanajishindisha njaa tu
 
"Huku sio Bara"

"Anamchapa wenzake viboko kisa anakunywa maji"

"Ukimtazama amejaa sura yenye chuki, sio ajabu huyu akawa gaidi kuua wakristo na wenye dini zingine huu ujasiri ni wa ajabu anaweza kuua"

Screenshot_20240329-185558_1.jpg
 
Najaribu tu kuwaza kwa sauti Mtu umefunga lakini unapata muda na shauku ya kwenda kutafuta wanaopika na kula?

Hapo unakua umefunga au umeshinda njaa. Umefunga na unatamani wanao kula sasa hapo umefunga umebadilisha ratiba ya chakula?

Upande wa pili kufunga: Hiari, ujikane nafsi yako si ulazimishwe.
Uisilamu siyo dini ni mtindo wa maisha uliojaa ulaghai na ukatili kwa asilimia mia moja, hapa kwa wanaochapa wanaokula usiku juzi wamewaua wenzao waliokuwa wameiba ngómbe na kuchoma gari moto. Sasa unajiuliza hawa jamaa wanafunga kwa ajili ya nini?
Jibu ni kwa sababu ya mtindo wa maisha kwamba kipindi fulani kikifika tunabadilisha muda wa kula na ratiba za kwenda baa, Huku tukipita mitaani kuwachapa watanganyika wanaokula mchana. Haya madai kwamba ukila mchana unamuathiri aliyefunga huu ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
Mbona waunguja waliojaliwa mahoteli wanapika wanachanganya mpaka coctail za wine na kuwapatia wazungu hawajakataa kwamba wamefunga.

Tena wanakaanga na kukata mpaka mbuzi Cathoric bila shida yoyote. Ma CARTEL wote wa kuingiza pombe Unguja ni wanguja na kwa sasa wanajinasibu wamefunga lakini wanaingiza mpunga mrefu kwa kuuza Urabu. Shubaaamit
 
Hii inafikirisha
 
Watu wa aina hiyo ni wale wanafunga kwa hasira na siyo kwa takwa lao kutoka moyoni mwao, mfano ni kama wale walio choma sindano za corona na wale ambao hawakuchoma,beef lilikua kali sana na kila mtu akimlaumu mwenzake kabugi!!
Umenikumbusha hii, kuna watu walikuwa wanaona ambao hawaja chanja kama ndio wabeba Corona na wanakufa karibuni. Waliiamini chanjo kiasi cha kuona wasio chanja hawatatoboa. Ila siku hizi wapo wanaojuta.
 
Najaribu tu kuwaza kwa sauti Mtu umefunga lakini unapata muda na shauku ya kwenda kutafuta wanaopika na kula?

Hapo unakua umefunga au umeshinda njaa. Umefunga na unatamani wanao kula sasa hapo umefunga umebadilisha ratiba ya chakula?

Upande wa pili kufunga: Hiari, ujikane nafsi yako si ulazimishwe.
WANAOPIGA WATU WANAOKULA MCHANA WAKATI WA MFUNGO NI WAPUMBAVU SANA.
 
Najaribu tu kuwaza kwa sauti Mtu umefunga lakini unapata muda na shauku ya kwenda kutafuta wanaopika na kula?

Hapo unakua umefunga au umeshinda njaa. Umefunga na unatamani wanao kula sasa hapo umefunga umebadilisha ratiba ya chakula?

Upande wa pili kufunga: Hiari, ujikane nafsi yako si ulazimishwe.
Ni kweli kabisa kwa hakika baadhi ya miungu hucheka sana.

Kwamaana Mungu ni mtu na akili yake tu.
 
Waachen wafuu wazike wafuu WAOOO nikopalee
 
Hawa jamaa wakifungaga hata machemba yanapungua kujaa waendelee tu kufunga mwaka mzima
 
Najaribu tu kuwaza kwa sauti Mtu umefunga lakini unapata muda na shauku ya kwenda kutafuta wanaopika na kula?

Hapo unakua umefunga au umeshinda njaa. Umefunga na unatamani wanao kula sasa hapo umefunga umebadilisha ratiba ya chakula?

Upande wa pili kufunga: Hiari, ujikane nafsi yako si ulazimishwe.
Kuwa na adabu na Imani ya watu wengine usiwe mjinga wakutumia simu yako kwa kujibu ujinga
 
Ukifunga usipokuwa na busy schedule utateseka ila ukiwa umefunga na upo busy njaa husikii kabisa ndio maana watu wanaofanya kazi 8-10hours they can perform hadi muda wa kufuturu una mwambia muda wa uji wa shurba
🤣🤣Sasa wengi wao hawana kazi za kufanya wanashinda wamelala miskitinn
 
Back
Top Bottom