Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Akili za waafrika wengi ni shida. Tumeanza tena kukashfiana huku loh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uisilamu siyo dini ni mtindo wa maisha uliojaa ulaghai na ukatili kwa asilimia mia moja, hapa kwa wanaochapa wanaokula usiku juzi wamewaua wenzao waliokuwa wameiba ngómbe na kuchoma gari moto. Sasa unajiuliza hawa jamaa wanafunga kwa ajili ya nini?Najaribu tu kuwaza kwa sauti Mtu umefunga lakini unapata muda na shauku ya kwenda kutafuta wanaopika na kula?
Hapo unakua umefunga au umeshinda njaa. Umefunga na unatamani wanao kula sasa hapo umefunga umebadilisha ratiba ya chakula?
Upande wa pili kufunga: Hiari, ujikane nafsi yako si ulazimishwe.
Hii inafikirishaUisilamu siyo dini ni mtindo wa maisha uliojaa ulaghai na ukatili kwa asilimia mia moja, hapa kwa wanaochapa wanaokula usiku juzi wamewaua wenzao waliokuwa wameiba ngómbe na kuchoma gari moto. Sasa unajiuliza hawa jamaa wanafunga kwa ajili ya nini?
Jibu ni kwa sababu ya mtindo wa maisha kwamba kipindi fulani kikifika tunabadilisha muda wa kula na ratiba za kwenda baa, Huku tukipita mitaani kuwachapa watanganyika wanaokula mchana. Haya madai kwamba ukila mchana unamuathiri aliyefunga huu ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
Mbona waunguja waliojaliwa mahoteli wanapika wanachanganya mpaka coctail za wine na kuwapatia wazungu hawajakataa kwamba wamefunga.
Tena wanakaanga na kukata mpaka mbuzi Cathoric bila shida yoyote. Ma CARTEL wote wa kuingiza pombe Unguja ni wanguja na kwa sasa wanajinasibu wamefunga lakini wanaingiza mpunga mrefu kwa kuuza Urabu. Shubaaamit
Umenikumbusha hii, kuna watu walikuwa wanaona ambao hawaja chanja kama ndio wabeba Corona na wanakufa karibuni. Waliiamini chanjo kiasi cha kuona wasio chanja hawatatoboa. Ila siku hizi wapo wanaojuta.Watu wa aina hiyo ni wale wanafunga kwa hasira na siyo kwa takwa lao kutoka moyoni mwao, mfano ni kama wale walio choma sindano za corona na wale ambao hawakuchoma,beef lilikua kali sana na kila mtu akimlaumu mwenzake kabugi!!
WANAOPIGA WATU WANAOKULA MCHANA WAKATI WA MFUNGO NI WAPUMBAVU SANA.Najaribu tu kuwaza kwa sauti Mtu umefunga lakini unapata muda na shauku ya kwenda kutafuta wanaopika na kula?
Hapo unakua umefunga au umeshinda njaa. Umefunga na unatamani wanao kula sasa hapo umefunga umebadilisha ratiba ya chakula?
Upande wa pili kufunga: Hiari, ujikane nafsi yako si ulazimishwe.
Ni kweli kabisa kwa hakika baadhi ya miungu hucheka sana.Najaribu tu kuwaza kwa sauti Mtu umefunga lakini unapata muda na shauku ya kwenda kutafuta wanaopika na kula?
Hapo unakua umefunga au umeshinda njaa. Umefunga na unatamani wanao kula sasa hapo umefunga umebadilisha ratiba ya chakula?
Upande wa pili kufunga: Hiari, ujikane nafsi yako si ulazimishwe.
😂😂Ni kweli kabisa kwa hakika baadhi ya miungu hucheka sana.
Kwamaana Mungu ni mtu na akili yake tu.
Kuwa na adabu na Imani ya watu wengine usiwe mjinga wakutumia simu yako kwa kujibu ujingaNajaribu tu kuwaza kwa sauti Mtu umefunga lakini unapata muda na shauku ya kwenda kutafuta wanaopika na kula?
Hapo unakua umefunga au umeshinda njaa. Umefunga na unatamani wanao kula sasa hapo umefunga umebadilisha ratiba ya chakula?
Upande wa pili kufunga: Hiari, ujikane nafsi yako si ulazimishwe.
Acha ukweli usemwe nimefurahi watu wengi wa JF wameanza kuujua ukweliJe admin nidini gani kwenye hii website maana anaruhusu udini yaani wakristo kudharau dini ya kiislam huu Ni upuuzi na hatupaswi kuuvumilia
🤣🤣Sasa wengi wao hawana kazi za kufanya wanashinda wamelala miskitinnUkifunga usipokuwa na busy schedule utateseka ila ukiwa umefunga na upo busy njaa husikii kabisa ndio maana watu wanaofanya kazi 8-10hours they can perform hadi muda wa kufuturu una mwambia muda wa uji wa shurba