Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Alafu mwisho wa siku tutakuja kuambiwa dpp amechoma betri biashara imeishia hapo
 
Bajeti kuu imesomwa leo bungeni, tupate nafasi ya kuitafakari, kuijadili na kuichambua, haya mengine tuyaache kwa vyombo vinavyohusika.
 
Huyo binti tamaa zake zimemponza.
Mabinti waache tamaa.
Huyo binti hajatekwa kaitwa na kwenda mwenyewe.
 
Ongeza na yule aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha,Bwana Pima na wenzake nao wameachiwa..wapo huru...

Zile Mbwembwe za bwana PM siku ile Ukumbi wa AICC tupwa kule..AIBU
 
Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa...
Safi,Kuna yule DC wa Mafia alilawiti mwanafunzi akakamatwa mbona kuko kimya? Isijekuwa ni danganya toto funika Kombe mwanaharamu apite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…