"Mama anaongoza nchi vizuri" - Jahkaya Kilete πππWAHUNI wamerudishwa ulingoni. Mwamba aliwafutilia mbali lakini huyu kwa kuwa anaingilika kirahisi rahisi, amethubutu kuwaingiza ulingoni WAHUNI.
Rubbish,alilala Nyerere na Nchi ikadonga sembuse yule kinyago?Baada ya namba moja kusema imekwisha wenye hekima waliona mbali nakujuwa kazi ipo mbele maana chuma kimelala.
Wajuvi wamambo waka angalia mwendo wa dereva na aina yagari alikuwa akiendesha wakasema jamani ee lifanyike jambo yes tutakanyaga katiba ila nibora mara mia maana hata hapo mwanzo tulisha kanyaga nakuisigina
Namba moja akiwa amesha lala muda mrefu idara zikabishana nakujifungia vyumba vya siri mwisho wakatoka walisema katiba ifuwatwe.
Wenye akili aka wanasiri wakasema uko mbele tujiandae najambo as we know the secret no one no. Je nisiri gani hiyo no one no.
Usiku Taifa likapewa Taarifa namba moja aka Mwamba wa Taifa amelala. Mwanaume alie tikisa Wizara mpaka miimili ya Taifa amelala.
Wajinga wengi wasio na data wakasema sasa maisha yatanoga na ili walambe utamu wa asali vizuri wakasema kumuuwa nyani mpe majina mabaya Mwamba wa Taifa akasakamwa kila kona ya Taifa yakwamba alikuwa mbaya na katili mtu ambaye hakufaa kuongoza Taifa.
Mmmm watu wanao ona kesho wakasema je haya majamaa yanajuwa yanachokisema? Wakapiga kimya nakusema wakati ni mwalim mzuri...ili wauwa nyani kupata wafuwasi wakatafuta watu wengi walikutana na rungu la Mzee.
Wakarudishwa ndani...
Ktk siku za mwisho kabisa ambapo wengi tuna amini ndio ulikuwa mwisho wakusikia dhihaka na kejeli nipale kijana mmoja alie wahi tuaminisha ndie walimtetea namba moja ila akavuna mabuwa asijuwe alikuwa ktk kikaango kupewa nafasi nyeti na mwamba alisema ktk kikao kimoja Mungu ameamua ugomvi wake na mzee mmoja akimanisha mwamba kuondoka imekuwa nafasi yake kipumua nakurud ktk wizara aliporwa mchana.
Mmmmm ndipo inasemekana mmmm inasemekana wana nguo nyeusi na macho meusi wakatoa stop yakutajwa kwa mwamba mm mmm toka hapo mwamba hatajwi na kila walicho kifanya kinyume na mwamba wanakirudisha kimya kimya.
Zipo tetesi nasema tetesi idara nyeti za mataifa ya magharobi kuna maamuzi hawakupenda ktk maswala ya usalama. Nauwenda yametuacha ktk kiza kinene.
Kupanda kwa hali ya maisha na vyakula kupaa huku wese likituacha tumelowa nimoja ya mambo yatakinukisha mbeleni.
Maelfu ya ajira nakupandisha mishahara pasipo kuangalia nakishi ya mampato nimoja nya mambo siku za mbeleni yatamuweka bench yule jamaa wa singida. Zipo tetesi wana uchumi na economic intelligence unity walitoa maoni yao ila hayakuwa consider so kama itathibitika basi mtu atakalia kuti kavu.
Ndugu zangu sisemi kwa ushabiki ila makosa makubwa yameshafanyika kwa sasa tutake tusitake kazi ya genius usije kuibeza kwa simple words Mwamba Mungu amlaze mahali pema peponi siku za mbeleni hotuba zake na siku yakifo chake zinakusisha hasi na chanya za Taifa. Sasa wa Tz wanajuwa zaid nia ya Mwamba na wanajuta kwa mawazo yao juu yake. Maisha hayatokuwa rahis kama tunavyo waza kupanda kwa bei ya nishati, mfumuko wa bei wa bidhaa adimu hasa chakula na hali ya siasa za kimataifa nimoja ya mambo yatakuwa mwiba mchungu kwa serikali na wa Tz.
Mwez wa kumi na mbili Marekani wameyatega Mataifa ya Africa na kama hamjuwi basi nibora mjuwe Marekani anatoa ma bilion ya pesa kwenye Afya na elim kwa africa. Ila kwa taarifa zisizo Rasmi Marekani wamekusudia kupunguza misaada kuanzia mwakani kwa mataifa yana support serikali za kiimla na
Wakati huo huo Roho za maelfu ya masikini wanyonge waliosaidiwa kuokolewa vifo kutokana na huduma Bora za afya, Machinga n.k TUNAMUOMBEA! ndiyo utajua MUNGU si mjomba wako!Mkuu, una tatizo la Kuandika ?
Pamoja na Mambo ya Maana uliyoyaandika,Kuna Moja ni Dhahiri haliwezekani, nalo ni Mzee Mwendakuzimu, Jiwe, hakuna Namna yule Mzee atapumzika Kwa amani.
Roho za Ben Saanane, Akwilina, nk. Zimemlilia sana Mungu.
Huyu Mzee stahiki yake ni Motoni
Sukuma gang mtateseka Sana.Ndio mΓ ana mimi naimba WIMBO huu lakini hamniungi mkono:-
"Samiah jiuzulu Sasa nchi imeshakushinda, ulambaji asali umekuponza"!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Uko sahihi kwani Hiyo Hali ilianzishwa na serikalini au ndio Hali ilianza hivyo Dunia nzima?Hali ya uchumi na mfumuko wa Bei vilianza kabla ya hii vita, hii vita no chaka la kujifichia.
Hali ni mbaya sana serikalini, ni muda tu mtapata majibu.
Kuna vuta nikuvute nguo ichanike.
Mama na jopo lake nchi imewashinda mapema mno.
Viongozi wengi walikuja hapa Tanzania kama kiongozi gani WA maana alikuja Tzn? Chakwera WA Malawi na Rais was Ethiopia au?Shida yako unaishi kwa nadharia. Hapo ndipo unakosea. Maisha hayako hivyo.
JPM alikuwa hapigiwa simu Moja kwa Moja toka kwa PM wa uchina na viongozi wengi walikuwa wanakuja hapa bongo.
Propaganda za wa havidhina hazikuzaa matunda. Mwamba alikuwa naichapa kazi kisawasawa.
Sasa hivi hatujui hata Nini kinaendelea? Sijui ndio huto tumtungi twa gesi ya siku Mbili?
Unajilisha upepo bure tuu mambo ni muruwaa hadi raha.Mwamba alale salama.
Kuna mda naona walamba Asali wakirudi Nyuma na kugangamala. 2025 hapatoshi. Nchi imeshaingiwa laana maana wanazani ni Yao peke yao.
Mwamba alipotawala hawakuridhika kabisa. Wakakaa chini na kuunda zengwe kibao ba kupitia Kigogo na BiTozo wakavujisha Siri na kumsimanga mtetezi wetu.
Sukuma gang wamechanganyikiwa si umeona kwenye bandiko wanavyoshangaa mama anawezaje kutoa maelfu ya ajira huku akisukuma miradi sasa wanapiga ramli na kuwanga ππItaly nayo ni legelege siyo?
Raha Sana pale unapoona sukuma gang wakifarijiana ππ..M
Thread za onyo zisiondolewe, huezi jua labda wahusika watageuka na kutubu Nchi ikaepuka mapigo.
Wewe hapo unajua nini au kipi hasa?hawa vifaduro kuna nini wanajua sasa???
kila kitu wameaguzwa wasene ni sababu ya vita.
Ukraine ni mbali ahamie Kenya au Uganda.Hamia Ukraine
Kwani wewe unaona anaongoza vibaya?"Mama anaongoza nchi vizuri" - Jahkaya Kilete πππ
π€£π€£ugoro bangi na tumbaku vimechanganywa sehem moja
Umeongea juzuu nzima kwenye aya chache.Baada ya namba moja kusema imekwisha wenye hekima waliona mbali nakujuwa kazi ipo mbele maana chuma kimelala.
Wajuvi wamambo waka angalia mwendo wa dereva na aina yagari alikuwa akiendesha wakasema jamani ee lifanyike jambo yes tutakanyaga katiba ila nibora mara mia maana hata hapo mwanzo tulisha kanyaga nakuisigina
Namba moja akiwa amesha lala muda mrefu idara zikabishana nakujifungia vyumba vya siri mwisho wakatoka walisema katiba ifuwatwe.
Wenye akili aka wanasiri wakasema uko mbele tujiandae najambo as we know the secret no one no. Je nisiri gani hiyo no one no.
Usiku Taifa likapewa Taarifa namba moja aka Mwamba wa Taifa amelala. Mwanaume alie tikisa Wizara mpaka miimili ya Taifa amelala.
Wajinga wengi wasio na data wakasema sasa maisha yatanoga na ili walambe utamu wa asali vizuri wakasema kumuuwa nyani mpe majina mabaya Mwamba wa Taifa akasakamwa kila kona ya Taifa yakwamba alikuwa mbaya na katili mtu ambaye hakufaa kuongoza Taifa.
Mmmm watu wanao ona kesho wakasema je haya majamaa yanajuwa yanachokisema? Wakapiga kimya nakusema wakati ni mwalim mzuri...ili wauwa nyani kupata wafuwasi wakatafuta watu wengi walikutana na rungu la Mzee.
Wakarudishwa ndani...
Ktk siku za mwisho kabisa ambapo wengi tuna amini ndio ulikuwa mwisho wakusikia dhihaka na kejeli nipale kijana mmoja alie wahi tuaminisha ndie walimtetea namba moja ila akavuna mabuwa asijuwe alikuwa ktk kikaango kupewa nafasi nyeti na mwamba alisema ktk kikao kimoja Mungu ameamua ugomvi wake na mzee mmoja akimanisha mwamba kuondoka imekuwa nafasi yake kipumua nakurud ktk wizara aliporwa mchana.
Mmmmm ndipo inasemekana mmmm inasemekana wana nguo nyeusi na macho meusi wakatoa stop yakutajwa kwa mwamba mm mmm toka hapo mwamba hatajwi na kila walicho kifanya kinyume na mwamba wanakirudisha kimya kimya.
Zipo tetesi nasema tetesi idara nyeti za mataifa ya magharobi kuna maamuzi hawakupenda ktk maswala ya usalama. Nauwenda yametuacha ktk kiza kinene.
Kupanda kwa hali ya maisha na vyakula kupaa huku wese likituacha tumelowa nimoja ya mambo yatakinukisha mbeleni.
Maelfu ya ajira nakupandisha mishahara pasipo kuangalia nakishi ya mampato nimoja nya mambo siku za mbeleni yatamuweka bench yule jamaa wa singida. Zipo tetesi wana uchumi na economic intelligence unity walitoa maoni yao ila hayakuwa consider so kama itathibitika basi mtu atakalia kuti kavu.
Ndugu zangu sisemi kwa ushabiki ila makosa makubwa yameshafanyika kwa sasa tutake tusitake kazi ya genius usije kuibeza kwa simple words Mwamba Mungu amlaze mahali pema peponi siku za mbeleni hotuba zake na siku yakifo chake zinakusisha hasi na chanya za Taifa. Sasa wa Tz wanajuwa zaid nia ya Mwamba na wanajuta kwa mawazo yao juu yake. Maisha hayatokuwa rahis kama tunavyo waza kupanda kwa bei ya nishati, mfumuko wa bei wa bidhaa adimu hasa chakula na hali ya siasa za kimataifa nimoja ya mambo yatakuwa mwiba mchungu kwa serikali na wa Tz.
Mwez wa kumi na mbili Marekani wameyatega Mataifa ya Africa na kama hamjuwi basi nibora mjuwe Marekani anatoa ma bilion ya pesa kwenye Afya na elim kwa africa. Ila kwa taarifa zisizo Rasmi Marekani wamekusudia kupunguza misaada kuanzia mwakani kwa mataifa yana support serikali za kiimla na
Dah....kwa kifupi.....imemshindaπππKwani wewe unaona anaongoza vibaya?
Baada ya namba moja kusema imekwisha wenye hekima waliona mbali nakujuwa kazi ipo mbele maana chuma kimelala.

Mdomoni kwako ni sawa imemshinda ila on ground unaona mambo yanaenda..Dah....kwa kifupi.....imemshindaπππ