Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,067
- 10,393
"Mama anaongoza nchi vizuri" - Jahkaya Kilete 😂😂😂WAHUNI wamerudishwa ulingoni. Mwamba aliwafutilia mbali lakini huyu kwa kuwa anaingilika kirahisi rahisi, amethubutu kuwaingiza ulingoni WAHUNI.