Yajayo yanafurahisha kwa kila Mtanzania, tutaita maji mma. Marehemu hakashifiwi!

WAHUNI wamerudishwa ulingoni. Mwamba aliwafutilia mbali lakini huyu kwa kuwa anaingilika kirahisi rahisi, amethubutu kuwaingiza ulingoni WAHUNI.
"Mama anaongoza nchi vizuri" - Jahkaya Kilete 😂😂😂
 
Baada ya namba moja kusema imekwisha wenye hekima waliona mbali nakujuwa kazi ipo mbele maana chuma kimelala.

Wajuvi wamambo waka angalia mwendo wa dereva na aina yagari alikuwa akiendesha wakasema jamani ee lifanyike jambo yes tutakanyaga katiba ila nibora mara mia maana hata hapo mwanzo tulisha kanyaga nakuisigina

Namba moja akiwa amesha lala muda mrefu idara zikabishana nakujifungia vyumba vya siri mwisho wakatoka walisema katiba ifuwatwe.

Wenye akili aka wanasiri wakasema uko mbele tujiandae najambo as we know the secret no one no. Je nisiri gani hiyo no one no.

Usiku Taifa likapewa Taarifa namba moja aka Mwamba wa Taifa amelala. Mwanaume alie tikisa Wizara mpaka miimili ya Taifa amelala.

Wajinga wengi wasio na data wakasema sasa maisha yatanoga na ili walambe utamu wa asali vizuri wakasema kumuuwa nyani mpe majina mabaya Mwamba wa Taifa akasakamwa kila kona ya Taifa yakwamba alikuwa mbaya na katili mtu ambaye hakufaa kuongoza Taifa.

Mmmm watu wanao ona kesho wakasema je haya majamaa yanajuwa yanachokisema? Wakapiga kimya nakusema wakati ni mwalim mzuri...ili wauwa nyani kupata wafuwasi wakatafuta watu wengi walikutana na rungu la Mzee.

Wakarudishwa ndani...
Ktk siku za mwisho kabisa ambapo wengi tuna amini ndio ulikuwa mwisho wakusikia dhihaka na kejeli nipale kijana mmoja alie wahi tuaminisha ndie walimtetea namba moja ila akavuna mabuwa asijuwe alikuwa ktk kikaango kupewa nafasi nyeti na mwamba alisema ktk kikao kimoja Mungu ameamua ugomvi wake na mzee mmoja akimanisha mwamba kuondoka imekuwa nafasi yake kipumua nakurud ktk wizara aliporwa mchana.

Mmmmm ndipo inasemekana mmmm inasemekana wana nguo nyeusi na macho meusi wakatoa stop yakutajwa kwa mwamba mm mmm toka hapo mwamba hatajwi na kila walicho kifanya kinyume na mwamba wanakirudisha kimya kimya.

Zipo tetesi nasema tetesi idara nyeti za mataifa ya magharobi kuna maamuzi hawakupenda ktk maswala ya usalama. Nauwenda yametuacha ktk kiza kinene.

Kupanda kwa hali ya maisha na vyakula kupaa huku wese likituacha tumelowa nimoja ya mambo yatakinukisha mbeleni.

Maelfu ya ajira nakupandisha mishahara pasipo kuangalia nakishi ya mampato nimoja nya mambo siku za mbeleni yatamuweka bench yule jamaa wa singida. Zipo tetesi wana uchumi na economic intelligence unity walitoa maoni yao ila hayakuwa consider so kama itathibitika basi mtu atakalia kuti kavu.

Ndugu zangu sisemi kwa ushabiki ila makosa makubwa yameshafanyika kwa sasa tutake tusitake kazi ya genius usije kuibeza kwa simple words Mwamba Mungu amlaze mahali pema peponi siku za mbeleni hotuba zake na siku yakifo chake zinakusisha hasi na chanya za Taifa. Sasa wa Tz wanajuwa zaid nia ya Mwamba na wanajuta kwa mawazo yao juu yake. Maisha hayatokuwa rahis kama tunavyo waza kupanda kwa bei ya nishati, mfumuko wa bei wa bidhaa adimu hasa chakula na hali ya siasa za kimataifa nimoja ya mambo yatakuwa mwiba mchungu kwa serikali na wa Tz.

Mwez wa kumi na mbili Marekani wameyatega Mataifa ya Africa na kama hamjuwi basi nibora mjuwe Marekani anatoa ma bilion ya pesa kwenye Afya na elim kwa africa. Ila kwa taarifa zisizo Rasmi Marekani wamekusudia kupunguza misaada kuanzia mwakani kwa mataifa yana support serikali za kiimla na
Rubbish,alilala Nyerere na Nchi ikadonga sembuse yule kinyago?

Najua mnaumia Sana kuona SSH akikimbiza kila Idara sasa mko busy kujisemesha semesha lakini she is firm and you have nothing to do..

Mtatapatapa Sana na kuombea ashindwe ila atawa outshine..

Mwisho Mwigulu hatolewi hapo haijalishi amewaongezea salary au hapana..

Na Rais Kamwe hatoacha kuajiri hata mda huu ukiingia website ya Ajira kuna ajira mpya kama zote..

Msio na akili mlishindwa hujigeuza kuwa wachawi na wanga ila Imewakata na Uchumi una uwezo wa kusapoto kila kitu Kwa sasa ndio maana unaona mambo yanaenda.
 
Mkuu, una tatizo la Kuandika ?

Pamoja na Mambo ya Maana uliyoyaandika,Kuna Moja ni Dhahiri haliwezekani, nalo ni Mzee Mwendakuzimu, Jiwe, hakuna Namna yule Mzee atapumzika Kwa amani.

Roho za Ben Saanane, Akwilina, nk. Zimemlilia sana Mungu.
Huyu Mzee stahiki yake ni Motoni
Wakati huo huo Roho za maelfu ya masikini wanyonge waliosaidiwa kuokolewa vifo kutokana na huduma Bora za afya, Machinga n.k TUNAMUOMBEA! ndiyo utajua MUNGU si mjomba wako!
 
Hali ya uchumi na mfumuko wa Bei vilianza kabla ya hii vita, hii vita no chaka la kujifichia.

Hali ni mbaya sana serikalini, ni muda tu mtapata majibu.

Kuna vuta nikuvute nguo ichanike.

Mama na jopo lake nchi imewashinda mapema mno.
Uko sahihi kwani Hiyo Hali ilianzishwa na serikalini au ndio Hali ilianza hivyo Dunia nzima?

Wapi kusiko na mfumuko was bei ilhali huko America uchumi unaporomoka..

Good enough kwa Tanzania mfumuko Wala Sio mkubwa kulinganisha na Nchi jirani au zingine huko Duniani..
 
Shida yako unaishi kwa nadharia. Hapo ndipo unakosea. Maisha hayako hivyo.

JPM alikuwa hapigiwa simu Moja kwa Moja toka kwa PM wa uchina na viongozi wengi walikuwa wanakuja hapa bongo.

Propaganda za wa havidhina hazikuzaa matunda. Mwamba alikuwa naichapa kazi kisawasawa.

Sasa hivi hatujui hata Nini kinaendelea? Sijui ndio huto tumtungi twa gesi ya siku Mbili?
Viongozi wengi walikuja hapa Tanzania kama kiongozi gani WA maana alikuja Tzn? Chakwera WA Malawi na Rais was Ethiopia au?
 
Mwamba alale salama.

Kuna mda naona walamba Asali wakirudi Nyuma na kugangamala. 2025 hapatoshi. Nchi imeshaingiwa laana maana wanazani ni Yao peke yao.

Mwamba alipotawala hawakuridhika kabisa. Wakakaa chini na kuunda zengwe kibao ba kupitia Kigogo na BiTozo wakavujisha Siri na kumsimanga mtetezi wetu.
Unajilisha upepo bure tuu mambo ni muruwaa hadi raha.
 
Baada ya namba moja kusema imekwisha wenye hekima waliona mbali nakujuwa kazi ipo mbele maana chuma kimelala.

Wajuvi wamambo waka angalia mwendo wa dereva na aina yagari alikuwa akiendesha wakasema jamani ee lifanyike jambo yes tutakanyaga katiba ila nibora mara mia maana hata hapo mwanzo tulisha kanyaga nakuisigina

Namba moja akiwa amesha lala muda mrefu idara zikabishana nakujifungia vyumba vya siri mwisho wakatoka walisema katiba ifuwatwe.

Wenye akili aka wanasiri wakasema uko mbele tujiandae najambo as we know the secret no one no. Je nisiri gani hiyo no one no.

Usiku Taifa likapewa Taarifa namba moja aka Mwamba wa Taifa amelala. Mwanaume alie tikisa Wizara mpaka miimili ya Taifa amelala.

Wajinga wengi wasio na data wakasema sasa maisha yatanoga na ili walambe utamu wa asali vizuri wakasema kumuuwa nyani mpe majina mabaya Mwamba wa Taifa akasakamwa kila kona ya Taifa yakwamba alikuwa mbaya na katili mtu ambaye hakufaa kuongoza Taifa.

Mmmm watu wanao ona kesho wakasema je haya majamaa yanajuwa yanachokisema? Wakapiga kimya nakusema wakati ni mwalim mzuri...ili wauwa nyani kupata wafuwasi wakatafuta watu wengi walikutana na rungu la Mzee.

Wakarudishwa ndani...
Ktk siku za mwisho kabisa ambapo wengi tuna amini ndio ulikuwa mwisho wakusikia dhihaka na kejeli nipale kijana mmoja alie wahi tuaminisha ndie walimtetea namba moja ila akavuna mabuwa asijuwe alikuwa ktk kikaango kupewa nafasi nyeti na mwamba alisema ktk kikao kimoja Mungu ameamua ugomvi wake na mzee mmoja akimanisha mwamba kuondoka imekuwa nafasi yake kipumua nakurud ktk wizara aliporwa mchana.

Mmmmm ndipo inasemekana mmmm inasemekana wana nguo nyeusi na macho meusi wakatoa stop yakutajwa kwa mwamba mm mmm toka hapo mwamba hatajwi na kila walicho kifanya kinyume na mwamba wanakirudisha kimya kimya.

Zipo tetesi nasema tetesi idara nyeti za mataifa ya magharobi kuna maamuzi hawakupenda ktk maswala ya usalama. Nauwenda yametuacha ktk kiza kinene.

Kupanda kwa hali ya maisha na vyakula kupaa huku wese likituacha tumelowa nimoja ya mambo yatakinukisha mbeleni.

Maelfu ya ajira nakupandisha mishahara pasipo kuangalia nakishi ya mampato nimoja nya mambo siku za mbeleni yatamuweka bench yule jamaa wa singida. Zipo tetesi wana uchumi na economic intelligence unity walitoa maoni yao ila hayakuwa consider so kama itathibitika basi mtu atakalia kuti kavu.

Ndugu zangu sisemi kwa ushabiki ila makosa makubwa yameshafanyika kwa sasa tutake tusitake kazi ya genius usije kuibeza kwa simple words Mwamba Mungu amlaze mahali pema peponi siku za mbeleni hotuba zake na siku yakifo chake zinakusisha hasi na chanya za Taifa. Sasa wa Tz wanajuwa zaid nia ya Mwamba na wanajuta kwa mawazo yao juu yake. Maisha hayatokuwa rahis kama tunavyo waza kupanda kwa bei ya nishati, mfumuko wa bei wa bidhaa adimu hasa chakula na hali ya siasa za kimataifa nimoja ya mambo yatakuwa mwiba mchungu kwa serikali na wa Tz.

Mwez wa kumi na mbili Marekani wameyatega Mataifa ya Africa na kama hamjuwi basi nibora mjuwe Marekani anatoa ma bilion ya pesa kwenye Afya na elim kwa africa. Ila kwa taarifa zisizo Rasmi Marekani wamekusudia kupunguza misaada kuanzia mwakani kwa mataifa yana support serikali za kiimla na
Umeongea juzuu nzima kwenye aya chache.

Subira ipo lakini akili kaumbiwa binadamu. Tutawekana sawa
 
Umeandika utoto gani hapa dogo? Nilipoona tu umeandika no one no, nikajua ni utoto uleule wa kawaida.
 
Wafuasi wa Jiwe sasa wamegeuka wapiga ramli tena ni ramli chonganishi wanatamani litokee lilotokea kwa shujaa wao ili nafsi zao zipate kupoa.
Yule mtu hakuwa binadamu ni shetani na kama kujenga miundombinu ndio sifa njema basi hata wakoloni tusingewafukuza na kule Afrika kusini wale makaburu wasinge laaniwa na dunia nzima.
 
Back
Top Bottom