Yajue haya majani ni dawa ya vidonda vya tumbo

Huu pia ni wako tu ndugu. Ni tofauti kabisa na aliioonesha mletamada. Huu wako majani yake ni kama ya mchicha. Ni tofauti na ule alioonesha mwanzoni mwa thread
 
No. 1 MFUBAZA
No.2 Wild OREGANO
 
Mm.nimetumia week nzima sijaona matokeo.
Mkuu chemsha oregano majani kumi kwa Lita 1 ya maji.ichemke kwa dk 10 toka ianze kuchemka.kisha epua acha ipoe kunywa vijiko vi 5 vya chakula.Mara 2 kwa siku kwa muda wa siku 3-5.

TAHADHARI:
PIMA PRESHA NA SUKARI YAKO KABLA YA KUTUMIA, NA KAMA UNATUMIA DAWA ZA MUDA MREFU PATA USHAURI TOKA KWA DAKTARI WAKO.
 
Naomba kujua hii ndio oregano?
 
Chukua majani 10 week Lita 1 ya maji.Kisha chemsha kwa dk 10 .Epua acha ipoe kunywa vijiko vi 5 vya chakula ×2 kwa siku.
ANGALIZO: IWAPO UNA KISUKARI AU PRESHA NI VEMA UKASHAURIANA NA DAKTARI WAKO.
 
Chukua majani 10 week Lita 1 ya maji.Kisha chemsha kwa dk 10 .Epua acha ipoe kunywa vijiko vi 5 vya chakula ×2 kwa siku.
ANGALIZO: IWAPO UNA KISUKARI AU PRESHA NI VEMA UKASHAURIANA NA DAKTARI WAKO.
Presha ipi?

Ya kupanda au kushuka???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…