Njerigeff
Member
- Jul 14, 2021
- 20
- 22
Hio ya pili scientific name ni lippia javanica kiengereza ni fever tea au lemon bushHiyo ya kwanza haina shida hiyo ya pili ndio sijaijua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio ya pili scientific name ni lippia javanica kiengereza ni fever tea au lemon bushHiyo ya kwanza haina shida hiyo ya pili ndio sijaijua
Kwa hiyo matatila nayo ni dawa ya vidonda vya tumbo? Kwetu tunatumia kama majani ya chai.
Ila nakumbuka wife alikuwa anapata miscarriages, kuna mmama anafahamu issue za mitishamba alikuwa anampatia mizizi ya hiyo michoma nguo hadi alipofanyiwa OP na kufanikiwa kupata first born. Na baada ya hapo mtoto mwingine mambo yalienda kawaida.
Asante mkuuKaka nzige mdudu, ni lazima utumie majani yote ya aina mbili.
Sawa Mkuu, asante kwa kushare nasiMkuu haitakiwi kuchemsha hayo majani, mana joto kali linaweza kupoteza tunachohitaji kwenye hayo majani.
Hili huwa linaota wapi mkuuMimi ni shuhuda wa hilo Jani la pili,,, sinywi dawa za vidonda vya tumbo siku hizi,imekuwa Kama utaratibu wangu nakunywa kila baada ya miezi miwili kwa siku tano . Na hata wakati wa covid tumelitumia Sana home kwa ajili ya covid.
Vipi matokeomAki nitafute naumwa sana nisaidike whatsapp +254714052124
Upo mkoa gani jmnNashukuru kwa maelekezo mkuu, nasumbuka sana na vidonda vya tumbo. Kwa bahati nzuri mkoa niliopo sasa haya majani yapo kwa wingi sana nitayatumia na nitakupa mrejesho.
AsanteHilo jani namba mbili ni jani zuri sana kwa ulimwengu wa sasa ,hupaswi kulikosa katika nyumba yako ,maana yanaota kila mahali na wengi wanayatumia kama fensi
Mbali na kutibu madonda ya tumbo kama mdau. alivyo sema,mmea huu unatibu UTI ,Kwa dunia ya sasa huwezi maliza Mwezi hujaugua UTI AU MARALIA,so ukiwa na mti huu ni faida kubwa sana kwako maana utakuepusha na matumizi ya vidonge kila Mara
Lakini pia mti mwingine muhimu ni mlonge nao ni mzuri sana kwa tiba ya malaria na vidonda vya tumbo
Matumizi ya mmea huu kwa kutibu UTI ni kuchuma majani na kuyachemsha kisha unayatoa majani unabaki na kimiminika ,ukiacha kuyatoa ya kuwa na kauchungu kakali sanaView attachment 1599638
Kwann inbox na usiwe hapa km wengine?Kama kuna anayepata taabu na vidonda vya tumbo nitafte inbox nikupe no. kwa dawa hii usipopona basi wewe utakuwa na tatizo jingine.Kama mimi nimepona kwa nini wewe usipone.
Msaada,ulitumiaje mkuu?Mimi mmoja wapo nilitumia hi miaka ishirini iliyopita na iliniponya TYPHOID KALI ambayo ilifikia ninaendesha damu mfululizo mkuu.
Chemsha kunywa hata kwa muda siku tatu, au nne hata glass moja au nusu glass kwa siku.Asante
Kiasi gani hayo maji yake unayotakiwa kunywa?,kikombe au
Asante sanaChemsha kunywa hata kwa muda siku tatu, au nne hata glass moja au nusu glass kwa siku.
Pia ni dawa ya tumbo achilia mbali UTI
Mkuu pitia Uzi huu umeeleza vizuri Sana Jitibu U.T.I kwa mmea huu kwa matokeo yenye ufanisi zaidiAsante
Kiasi gani hayo maji yake unayotakiwa kunywa?,kikombe au