Yajue magari makubwa zaidi duniani

Kama uwezo na nia ya kuziunda ungekuwepi chuma sio shida unaweza agiza ata nje.
Kuagiza kilichokuwa tayari ni ghali sana. Maana viwanda hivyo huendeshwa na viwanda vingine vingi. Huyu anatengeneza rim za tairi, yule bodi, huyu injini. Viwanda kibao. Wote hao hawawezi kuagiza kwa bei shindani. Ila mkiww na chuma humuhumu ndani no rahisi mtu kuanza kutengeneza nuts, bearinngs nk. Upatikaji wa malighafi kwa urahisi ni jambo la muhimu sana.
 
Midubwana hiyo ni lazima ibwebwe kwenye matrela, kwasababu hayo ni ma heavyweight hayana mbio, basi yanako hitajika husafirishwa kwa kubebwa na matrela
Hizo zikipita kwenye barabara zetu lazma ziharibu
 
Wenzetu wamewekeza kwenye elimu ya manufaa. Elimu yetu ni ya hovyo kabisa.
 
I appreciate, so mkuu bado unatinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…