Yajue magari makubwa zaidi duniani

Halafu na Ka Ist kangu pamoja na hp kubwa yao ninawapita km wamesimama.
chezea Ist wewe mafuta kidogo rut ndefu
 
Hizo zikipita kwenye barabara zetu lazma ziharibu
Kwanza hayo shuguli zake hufanyia migodini tu, sio kwenye barabara za lami au highway, pamoja na hivyo hayo binafsi hayana uzito wa kupita kiasi u haribu Barbara ila mizigo yanayo beba ndio yenye uzito mkubwa.
 
Hii kama unajenga nyumba ya kuishi,mchanga trip moja mpaka unamaliza nyumba...
 
Usiogope huo ukubwa kiongozi Bujibuji, nafasi ya dereva ni ile ile!! Yaan kakiti na usukani na gia zake πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
CCM hawaoni umuhimu wa kuinvest kwenye kuendelea madini ya chuma. Utajiri wa nchi nyingi umetokana na uwepo wa madini ya chuma, sisi mafala tuko busy na tanzanite
Chuma ni mojawapo ya vyanzo vikuu vya utajiri wa Australia. Wanawauzia Wachina. Sisi tunataka utajiri wa serikali utokane na wananchi hohehahe kwa kuwakamua tozo.

Lini maskini wakaitajirisha nchi yao?! Tufunguke, tuwe wabunifu na kutumia utajiri wa rasilimali zetu lukuki kutajirisha nchi yetu na wananchi wetu, si kuwakamua!

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Sjawah kubahatka kuyaona kwa ukaribu naishiaga kuyaona kwenye tv

Jiji la dar linunue madude kama hayo kuzolea taka
Ungekuwa unafanya kazi bandarini ungeyaona sn haya madude.Nakumbuka kuna dude moja hapo nilikuwa napita katikati ya tairi na tairi bila kuinama

Na tairi la Hilo gari hasheem thabit mwenyewe ni mfupi akisimama

Siku waki disassemble ili liende mkoani,zinapaki roli nne Kwa ajili ya kubeba mavifaa yak
 
Chama Cha Mazezeta
 
Nchi haina think tanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…