EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Hivi naomba kuuliza kwa ulalaji wa jela ukibanwa na haja uinuke uende chooni unafanyaje maana sakafu yote imejaa watu wamelala chini,unakanyagaje hapo down
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi inawezekana kwa mtu binafsi kwenda tu pale gerezani ukasema nahitaji kuonana na wafungwa na ukaruhusiwa???Hakika ukifanya hivyo uta balikiwa Sana Tena kabla hauja wapelekea tembelea kwanza
Utawaona wanao hitaji msaada hata hata kwa kuwa angalia tu
waulize majina yao Kisha wapelekee mkuu uta barikiwa
Kesi mkuu za jamhuriIlikuaje mkuu?
Mimi nilienda bila kujua utaratibuUtaratibu wa kutembelea upoje?
una jibadilisha kulingana na mazingiraDe Opera mshamba_hachekwi tukienda jera tunatoboa kweli
Amini mkuu,mfungwa akiwa kwenye kazi za nje kukutana na raia wa kawaida ni kitu simple na mara nyingi huwa hawana cha kukuomba zaidi ya kama hivyo hela au kama unakula kitu umpe etc.Chai hii
Hakuna wa kufanya hivyo nchi hii cha kufanya ni wewe kwa nafasi yako kuwasisitiza nduguzo na yeyote mtaani kwako kukaa mbali na kiumbe kinachoitwa polisi.Kwanini mashirika yanayotoa misaada ya kisheria yasiende kuwasaisldia hao waliosingiziwa? Waliokaa mahabusu miaka mitano anaona Bora ningefanya hayo ninayotuhumiwa niwe hapa kihalali. Kuna mashirika, mpk mawakili wa serikali, na legal aids mbalimbali ikiwemo na ya Mhe Rais hebu wawe wakiwakumbuka na hao kama Kijana aliyeokota risasi
Hizo nomaKesi mkuu za jamhuri
Inasikitisha sana.Tuombeane jela sio kabisa....haswa ukiwa kesi haina dhamana....mbaya mnoooo....kuna jamaa Bank moja alizingua pesa za ATM tangu 2008 hafi leo yuko ndani.....sijui ile kesi itaisha lini...amesota sana mali zoote kwisha skitoka masikini wa kuanza upya
Unatoa macho mkuu?basi nikanmwona mtu wakwanza kavua mpaka woote tukamaliza naku chuchumaa tukiwa tume ugeukia ukuta😳
Baraka nyingi zikufikie popote pale ulipoHakuna wa kufanya hivyo nchi hii cha kufanya ni wewe kwa nafasi yako kuwasisitiza nduguzo na yeyote mtaani kwako kukaa mbali na kiumbe kinachoitwa polisi.
Hata akiona tukio limetokea sijui mtu katupa bunduki machakani akakimbia na yeye akimbie hivyo hivyo tena kumzidi mwenye bunduki yake askari bongo hawasaidiki akijipendekeza ushahidi watampoteza maisha.
Wakemee ushoga wakiitwa wakiambiwa wawataje mashoga wanaowakemea na moja wapo ya sheria za wafungwa ni kum-point mtu ushoga watajibu nini?Hao viongozi wa dini wakati wa ibada hawakemei ushoga?
Mkuu je kuna matukio yoyote ya kikatili wafungwa hufanyiana?Habari gani wakuu
Maisha changa Moto na Katika kuzitatua nikajikuta nimevuka mstari mwekundu na kujikuta nipo police station
Baada ya kushindana na wale bwana wazee wa nguo za kaki kwenye maswala ya pasu wakaapa kuni fanyia siyo
Nakumbuka mmoja wao akasema Sasa kwasababu wewe ni mtata kwenye maswala ya mpalaso
Basi Sasa movie ndiyo Lina anza.. akaendelea unalijua lile picha la commando la anord Schwarzenegger?
Nika muuliza lipi ilo?
Akaniambia lile Lina anzia polini. Jamaa ame beba gogo begani,anasogea mbele kidogo analitua chini,
Anapiga shoka la kwanza,shoka la pili, analinyenyua
Analitazama lile shoka,Kisha anamwona Jean/binti yake ndani ya shoka jeupeee
Anageuka anankumbatiwa lakini hawaja kaa sawa Kuna chopa zinaingia pale.,. Unalijua Hilo picha
Nikamjibu Hilo nalijua nipicha la kitambo sana.,,
Akacheka kicheko Cha husda na hasira Kisha akasema Sasa ndiyo linaanza..
Baada ya mda nikatinga kituoni siku mbili baadae nikatinga mahakamani baada ya kusomewa kesi na kulikana shtaka
Nawengine kufanyiwa hivyo hivyo tukaingizwa kwenye kalandinga na hatukuludishwa kituoni Tena Bari tulielekea upande mwingine
Baada ya safari ya mda wa saa moja na nusu tukashushwa mbele ya mjengo mkuubwa na wenye geti na maaskali nje
Nyuma yangu lika skika jamaa moja likiwa limepigwa pingu likasema kwa sauti oyaaa afande mudi
fungua chapu geti Nina njaa nataka nikale ugaliii""
nikamuuliza jamaa aliyekuwa amekaa upande wangu wa kulia kwani hapa wapi
jamaa akaniuliza hujawaikuja huku? nikamwambia ndiyo akaniambia hapa bwana ni jera Kama ume wai kuliskia jina la jera x ndiyo hapa"
Kisha ikaskika sauti nje ya gali/kalandinga ikisema tokeni nje na ukishuka unaluka kichula mpaka kwenye ngazi zile pale getini Ila usiingie getini.
basi kijana wa kwanza akatoka na kufuata utaratibu nawengine woote hivyo hivyo
baada ya mda kidogo tukiwa tume chuchumaa akaskika afande wa ndani ya geti akisema
ukiitwa jina unaingia unaacha ulicho nacho hapa counter Kisha una vuka geti la pili una chuchu maa
basi utaratibu ukafwatwa tukawa wote sasa tume vuka geti la pili
basi bwana tukiwa tume chuchumaa pale tukaona watu kibao kwenye kwenye cells
gafra akatokea askali jela mwingine nakusema vueni nguo wekeni hapo Kisha geukieni ukuta mkiwa mmechuchu maa"
hapo ndipo nilipo ishiwa nguvu aiseeh"
basi nikanmwona mtu wakwanza kavua mpaka woote tukamaliza naku chuchumaa tukiwa tume ugeukia ukuta
kisha Yule askali jera akaanza kuikagua nguo Hadi nguo huku akipitia kiunoni mpaka mkunjo wa mguu
nakumbuka alisema Kama hamja kabidhi vyote pale counter Basi chochote nitakacho kikuta mmekiacha kwenye nguo nichakwangu"
aliendelea ku search nguo huku akitupigisha story hii ilionyesha wazi kabisa kwamba hata yeye alijiskia aibu kwa kile alichokuwa ana fanya
baada ya kujilidhisha akatuambia Sasa Ina meni Nione vinyeo vyenu Kama hamja ficha kitu huko""
basi yule wa kwanza akaanza bila kusita kufanya hivyo.
nakibaya zaidi kulikuwa na wazee Kama watatu watu wazima nawao wali fanya hivyo kiukweli lilikuwa Jambo baya Sana na lakuaibisha sana na lisilo sahaulika
baada ya hapo tuka vaa nguo na kuongozwa kwenye mess/sehemu ya chakula
hapo akaitwa mpishi aka tupakulia maharage ambayo yalionekana haya kuungwa Wala kuchambuliwa
Pamoja na ugari/dona chakula hicho kilikuwa kime pakuliwa kwenye bakuri za aluminium zilizo bondeka,bondeka na kutoboka
kwahiyo wakati mwingine zilimwaga mchuzi wa maharage
baada ya kupewa chakula hicho nilkata Yonge la ugali nilipo lisogeza karibu na mdomo nikaskia harufu ya mafuta ya taa japo skujua inatokea wapi
kati ya maharage au ugari?
Nilipo ona wengine/wenzangu wanaendelea kufakamia chakula hicho nami Nika amua kufanya hivyo
Lakini nilipo kata tonge la pili na kulinusa ndipo Nika gundua kwamba ule ugari/unga
ume changanywa na mafuta ya taa sjui kwa Nini ? Nikaona ntajua tu mda ukifika
baada ya chakula Kuna jamaa kilimshinda kabisa kile chakula.
lakini aliskika mfungwa mmoja akisema utazoea tu na utakula chakula hicho vizuli tu hata sisi tulikuwa Kama wewe
basi kwasababu tulikuwa tume fika mda ambao wafungwa walikuwa wameingia ndani/cells
afande magerez pale akawaita nyampala waote nje na kuanza kutu kabidhi kwao
Nyampara wao ndiyo walio amua kwamba huyu atakaa cell frani na huyu cell frani
baada ya hapo Mimi nilichaguliwa cell no 1 lakini cell yenyewe nikama bweni au darasa/godown
nilipo fika kwenye ule mlango wa cell Ile na kutazama ndani sikuamini na ilikuwa Kama naota...
itaendelea wakuu...
PoaUnatoa macho mkuu?
Jitahidi na omba sana kwa Mungu wako akuepushie hilo balaa maana siyo poa.
Wasiishie kuongea Kwenye matiivii tunatoa misaada ya kisheria na siku ya sheria kutoa msaada Kwa wananchi walio huru mitaani badala kuanzia na ndugu wanaoozea huko Kwa kesi za kusingiziwa.Hakuna wa kufanya hivyo nchi hii cha kufanya ni wewe kwa nafasi yako kuwasisitiza nduguzo na yeyote mtaani kwako kukaa mbali na kiumbe kinachoitwa polisi.
Hata akiona tukio limetokea sijui mtu katupa bunduki machakani akakimbia na yeye akimbie hivyo hivyo tena kumzidi mwenye bunduki yake askari bongo hawasaidiki akijipendekeza ushahidi watampoteza maisha.
Hata huku uraiani watu ma rijali kabisa wanaliwa Hadi kukojolewa shahawa na wanaume wenzao.Ila hz mambo za kuliwa kiboga,mabwana jera wangefanya utaratibu wa kufatilia