Yajue mambo mazuri ya wakurya ambayo ulikuwa huyafahamu

Umesahau kitu... Sisi ni kabila pekee Mwanamke wa rika lolote ambae hakubarikiwa kupata mtoto...anaweza kuoa mwanamke mwenzake (nyumba ntobhu) na atamgaramikia mahitaji mbali mbali kama nyumba ya kuishi(mji) chakula(hapa anaweza mfungulia biashara), kusomesha watoto watakaozaliwa na huyo mke...

Kitu kizuri ni kuwa Hampangii mwanamke aliemuoa mwanaume wa kulala nae! Anachoangalia mama muoaji ni ili mradi apate familia kubwa (ukoo mkubwa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…