Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Sitaki kujua Nisha kuambia acha kunitag na kunifananisha na mtu yeyote,cha ujinga wewe jamaa mbona na wewe unachafua wenzako humu.. kwani ni mimi niliye anzisha hilo jina
Ni hapo tynapokosana shemeji ,umri huu ninywe chai na bia zipo ?Safi kabisa mkuu kwema kwema....
Vipi ushapata chai mda huu...
Haya mkuu mi kuanzia leo sikuiti CHAPATI..... Nafunga domo.languSitaki kujua Nisha kuambia acha kunitag na kunifananisha na mtu yeyote,
Sihitaji ngoja niwasilishe pendekezo kwa wahusike unipe uthibitisho
Ulinnita chapati!! Naona unazidi kulikoleza sitaki mazoea ya kujuana sana
😂😂😂😂😂😂🫵🫵🫵 Huo mji wa kislam na tishakubaliana kunywa bia asbhi ni najisi,,Ni hapo tynapokosana shemeji ,umri huu ninywe chai na bia zipo ?
Niombe radhi
Monetary doctor na Poor Brain ♥️♥️ yaishe bwana.Haya mkuu mi kuanzia leo sikuiti CHAPATI..... Nafunga domo.langu
Jamaa anazingua haiwezekan yeye afanyie visa wenzake alafu akifanyiwa yeye anakimbilia kwa moodMonetary doctor na Poor Brain ♥️♥️ yaishe bwana.
Mh yameisha shemela ,usije wacha ninywe chai tu😂😂😂😂😂😂🫵🫵🫵 Huo mji wa kislam na tishakubaliana kunywa bia asbhi ni najisi,,
Vipi mbna unataka nije kumchukua sista hapo
Mh yameisha shemela ,usije wacha ninywe chai tu😂😂😂😂😂😂🫵🫵🫵 Huo mji wa kislam na tishakubaliana kunywa bia asbhi ni najisi,,
Vipi mbna unataka nije kumchukua sista hapo
usitegemee romance kwa mwanamke mkurya.Wakurya wapo romantic
Upo sahihi kabisa mwamba, Mimi ni mkurya naeweza kuishi na jamii yoyote hapa Tanzania. Kikubwa Mimi naheshimu mipaka ya mtu lakini na Mimi usinivukie mipaka yangu, hapo ndipo wakurya tunaonekana wakorofi.Tofauti na ubabe ni watu poa sana
Hii inaanzia zama za ukoloni. Wakoloni waliamini ktk vigezo tofauti vya kuandikisha askari. Hii ilianzia muonekano, ujasiri na ku-balance kati ya kule walikopeleka cash crops na kule walipotunza kama labor reserves. Kwenye muonekano na ujasiri wakoloni walitumia zaidi vijana warefu waliotoka jamii za kijasiri. Infact hata kwenye vita ya Kagera jamii ya Kikurya na Mkoa wa Mara ndio iliyojitokeza zaidi kujiandikisha kwenda kuzipiga UgandaUnajua kwanini wakurya wamejazana majeshini ambapo panahitaji matumizi makubwa ya nguvu kuliko akili?
Hao wamekuwa raised in violence society .
Violence society ❎ violent society ✅. Pumbavu wewe.Unajua kwanini wakurya wamejazana majeshini ambapo panahitaji matumizi makubwa ya nguvu kuliko akili?
Hao wamekuwa raised in violence society .
acha mambo yako wewe.. waryanchoka na wrya nini sijui si walikuwa wanauana km kuku si ukabila huo? na bado hawaelewani mpaka keshoKUNA PUNGUANI ALIANDIKA UZI KUKANDIA WAKURYA NA AKAFURAHI NA UZI WAKE MWENYEWE🚮
1: Kati ya kitu mkurya hana ni kitu kinaitwa ukabila tofauti na makabila mengi yaliyo kanda ya ziwa. Ukikuta sehemu mkurya ni boss basi utakuta variety tofauti ya kanda mbali mbali katika kazi yake.
2: Wakurya ni moja ya makabila machache wenye uwezo wa kuoa mwanamke mwenye mtoto then ana mu-embrace kuwa wa kwake na kumpatia jina la ukoo kabisa na kumfanyia yote ya kimila kama mtoto wake wa kumzaa.
3: Mkurya anapokuoa basi anaoa na vyote vinavyounganika na wewe. Madeni yako, mtoto wako, mdogo wako kama ulikuwa unaish nae thus vyote vinakuwa na wanakuwa chini ya uangalizi wake.
4: Kama mkurya ameoa au kuolewa basi hio ni chapa, ni ngumu mwanamke wa kikurya kukimbia ndoa. Sio kwamba anatishiwa bali norms zinamvuta. Wanawake wa kikurya ni loyal na wavumilivu.
5: Asilimia kubwa ya maendeleo ya mji wa Mwanza yametokana na wakurya. Ukija asilini kwao tarime mjini unaweza usikute maendeleo makubwa hio ni kuwa mji wa mwanza kutokana na ukaribu uliweza kuwavuta kifursa waliopata pesa tarime thus wakurya ni workforce ya maana.
6: Wakurya na uchawi ni kama maji na mafuta. Ukiona mkurya mtumia madawa basi hayo ni ya kuletewa thus wakurya kiasili hawako enginereerd katika uchawi kwnye maswala yao ya kitamaduni na maamuzi
Ndiyo maana mimi huwa nadanganyaga kabila😁😁Ni stori tu.
Wakurya wapo romantic
Hata wewe kabila lako ukinitajia hapo linatkupa lulkuki ya mambo ya kuogopesha kuhusu nyie.🤣
Ok, sawa.....Haya mkuu mi kuanzia leo sikuiti CHAPATI..... Nafunga domo.langu
Maana watu wana mitazamo hasi sana kwa baadhi ya makabilaUmeona sasaa🤣
Lakini mbona alichoongea kina ukweli na kipo wazi tangu enzi ya Nyerere wao ndio wanaongoza kwa idadi kubwa majeshini.Ni mtu pekee mbinafsi, asie na utu, mmkabila na dharau ndio anayeweza kuongea point kama hii.
Lakini sishangai sisi waafrika kuwaza hivi maana dr kwa wazungu inamvukisha kiwango cha ujinga ila kwa bongo dr inazidisha ujinga wake