Mimi siwezi kuongea, anayeongea ni Yesu, hata hao wachawi sio wao, bali ni shetani.[emoji23][emoji23]
Mkuu lazima mkaangwe tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hayo ya misri niyauongo.
Huwezi ukaongea wewe kama mchawi yupo kazini[emoji1787][emoji1787].
pumbafuHakuna kitakachotokea
Hakuna uchawi duniani
Wala hakuna mungu duniani
Sayansi ndio inaendesha dunia .
Zaidi ya ajira 40,000 zimeanza kutangazwa na serikali.Ajira ajira ajira ni tatizo sugu.
Shindano liwe la wazi na lifanyike kwenye uwanja wa wazi, kina Mwamposa, Kuhani Musa, na walokole wengine konki, wakashindane na wachawi konki kama Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume na wengine.
Wachawi wamvimbishe tumbo FaizaFoxy au wamkate kichwa Lucas mwashambwa , au wampige busha THE BIG SHOW, au wamuoteshe kipara kama cha Magufuli ChawaWaMama halafu walokole wauondoe huo uchawi hawa watu warudi kwenye ukawaida wao.
Pia wachawi watuoneshe wanavyopaa halafu wakiwa angani walokole wapige maombi yao hadi nyungo za wachawi zidondoke kama zinavyodondoka kwenye mapaa ya kanisa.
hapo ndio utapojua sura halisi ya mtanzania kama ndivyo unavyosema watavbakia kulalama anyway nimeona tangazo la ajira kama 47000.Zaidi ya ajira 40,000 zimeanza kutangazwa na serikali.
Kma hiyo haitoshi, wasikuwa na kazi wote waanze kuchangamkia fursa kwenye mashirika na taasisi zote zilizokuwa za Kiserikali na umma.
Sasa hivi taasisi hizo zinajiendesha zenyewe bila kutegemea serikali kuu, kutakuwa na mabadiliko ya nguvu huko kwa wale waliozowea ukiritimba wa kiserikali wengi wataachia njiani.
Wahi nafasi yako.
Mbali ya ajira hizo, kuna ajira za sekta ya kilimo, ufugaji wa wanyama na samaki.hapo ndio utapojua sura halisi ya mtanzania kama ndivyo unavyosema watavbakia kulalama anyway nimeona tangazo la ajira kama 47000.
safi sana napenda vitu kama hizi watu walikaa kama wana hangover vile sasa tushindwe wenyewe, leta habari hio dada mkubwa.Mbali ya ajira hizo, kuna ajira za sekta ya kilimo, ufugaji wa wanyama na samaki.
Mama kafunguwa kweli kweli, hivi napandisha uzi wa bandari mpya kabisa, mama anaweka historia.
Mimi siwezi kuongea, anayeongea ni Yesu, hata hao wachawi sio wao, bali ni shetani.
Sasa jiulize mkubwa kati ya Mungu na shetani ni nani.
Msijaribu Mungu kwa vitu vya hovyo kama hivyo pumbavuShindano liwe la wazi na lifanyike kwenye uwanja wa wazi, kina Mwamposa, Kuhani Musa, na walokole wengine konki, wakashindane na wachawi konki kama Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume na wengine.
Wachawi wamvimbishe tumbo FaizaFoxy au wamkate kichwa Lucas mwashambwa , au wampige busha THE BIG SHOW, au wamuoteshe kipara kama cha Magufuli ChawaWaMama halafu walokole wauondoe huo uchawi hawa watu warudi kwenye ukawaida wao.
Pia wachawi watuoneshe wanavyopaa halafu wakiwa angani walokole wapige maombi yao hadi nyungo za wachawi zidondoke kama zinavyodondoka kwenye mapaa ya kanisa.
Ndo iliendeshwa na hizo story za kufikirika zisizo na ushahidi au uthibitisho?Kabla ya sayansi dunia iliendeshwa na nini? Je sayansi ni nishati?
Sasa nawee ndo ueleze huo uumbaji wa wanadamu na viumbe wengine ambao haukufanyika maabara, sio kutisha watu lolEndelea kujidanganya. Kwahiyo uimbajibwa wanadamu na viumbe vingine na vitu vyote vilifanyika maabara? Ukiendelea na akili hii utaishia pabaya ndg.
Sayansi ndiyo iliyokuumba au? Sayansi ndiyo iliumba vyote vinavyoonekana na visivyoonekana au? Laana zingine mnajitakia bure tu!!Hakuna kitakachotokea
Hakuna uchawi duniani
Wala hakuna mungu duniani
Sayansi ndio inaendesha dunia .
Hii imekaa vzrHeading isomeke Waafrika wasaliti Vs Waafrika asili
Akikujibu nijuzeKabla ya sayansi dunia iliendeshwa na nini? Je sayansi ni nishati?