Hebu nichumu tena kama jana....
We mdanganye tu wakati ukiwa naye bado unanikumbuka. Ye mwenyewe yuko bize na vichenchede vyake
Afu mwenyewe chapombeeeeeeeee
Tatizo lako unasahau kuwa wewe pia unakuwepo katika vikao vya ulevi na ndio chanzo cha kuharibu vijana wote, ona saudari na Safari_ni_Safari walivyochoka wamechakaa!
shem we ni bazazi kumbe!
Tatizo lako unasahau kuwa wewe pia unakuwepo katika vikao vya ulevi na ndio chanzo cha kuharibu vijana wote, ona saudari na Safari_ni_Safari walivyochoka wamechakaa!
Wewe mwanamke unapika saa ngapi? Kutwa kucha JF!
Wewe mwanamke unapika saa ngapi? Kutwa kucha JF!
ha ha ha Safari_ni_Safari.. tuna wafanyakazi wanaotupikia mie na mahabuba wangu Paloma.. twaishi kizungu sie.. sema jingine..
Unaona misifa kula chakula cha hausi geli? Au naye analika? Ndio maana usiku makasheshe hayaishi
Unaona misifa kula chakula cha hausi geli? Au naye analika? Ndio maana usiku makasheshe hayaishi
ha ha ha Safari_ni_Safari.. beki tatu amepata tuition ya kupika toka kwa mahabuba Paloma.. inamaanisha utaalam kwa Paloma ni nyumbani kwake.. wa mapochopocho yote.. napata starehe niitakayo mie..
Hahahaaa anayepika ni chef aliyesomea anayejua kazi yake...ukitaka chakula cha kiswahili, indian, continental, chinese, mexican. I just say the word! Kazi yangu ni kumburudisha mehbuba wangu sosoliso
Shem mi nlishakaguliwa banaaa shem we ni bazazi kumbe!