Yaliojiari Pasaka hii na matukio yasiokuwa ya kawaida..

Heee jinzi zinafanana! Sikuwa nimeona kofia! Nakupenda sana sosoliso, si unaona wanavyotaka yetu yaharibike! Hawatuwezi! Na watabaki hivi hivi hasa saudari na Asprin

Na ulivyokua unalalamika hukuyajua hayo, huyu sosoliso atakugeuza kibiiti ndo utajua nini maana ya kuku kapanda baiskeli.
 
Last edited by a moderator:
Nawe ndio utayajua ya bata kuvaa raizoni! Astaghafirulah ubinadam kaaaazi!!
Na ulivyokua unalalamika hukuyajua hayo, huyu sosoliso atakugeuza kibiiti ndo utajua nini maana ya kuku kapanda baiskeli.
 
Last edited by a moderator:
We acha kumdharirisha my akanana awe lonely amekuwa pori? Nikuulize wewe amabae utaki kusema ukweli kuwa Paloma alikuacha kwenye mataa!
hizi ni habari za uzushi.. nilikuwa na babe wangu Paloma chama na mogela throughout pasaka.. kwa hiyo Passion Lady bado hueleweki.. pasaka ulikuwa lonely..
 
Last edited by a moderator:
Lov ukweli ni kwamba sosoliso hawezi kusema alicho fanyiwa ni aibu kabisa! Alilia jumapili yote leo unajidai kutudanganya hapa na kushindwa kueleza yaliyo mkuta! Ana sahau kusema yanayo kusumbua moyoni ni tiba

weeeee!!!!
nilikua na loya mie!
unanizushia sikukuu yote
niwe alone lol!
 
Last edited by a moderator:
Lov ukweli ni kwamba sosoliso hawezi kusema alicho fanyiwa ni aibu kabisa! Alilia jumapili yote leo unajidai kutudanganya hapa na kushindwa kueleza yaliyo mkuta! Ana sahau kusema yanayo kusumbua moyoni ni tiba
kweli beibe!
ni aibu hawezi
kusema hadharani
labda nimuite chemba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…