Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Ha ha ha Ruttashobolwa huyo Passion Lady kwenye picha anayojisifia yuko na saudari.. Anapigwa pombe.. Nashangaa wewe unavydai ati ni asali wako..
We acha kumdharirisha my akanana awe lonely amekuwa pori? Nikuulize wewe amabae utaki kusema ukweli kuwa Paloma alikuacha kwenye mataa!
weeee!taratibu
saudari alikabidhiwa
na loya anipe kampani
honey wangu alienda ATM
kuvuta mshiko!
[
COLOR=#800080][/COLOR]
Ha ha ha.. Jamaa yangu Ruttashobolwa unadanganywa mchana kweupeeee.. saudari hebu sogea pande hii..
Ha ha ha Ruttashobolwa huyo Passion Lady kwenye picha anayojisifia yuko na saudari.. Anapigwa pombe.. Nashangaa wewe unavydai ati ni asali wako..
Heeee.. Ni sawa mbwa kukabidhiwa bucha lol.. Na saudari hafanyagi ajizi akiwa ndani ya 18.. Ha ha ha.. loya na Ruttashobolwa wamepigwa bao la kisigino..
miss u 2 honey
namhurumia sana
sosoliso hajijui tu!
Hahahahahaha
mbona unapanic?
Kwani we ukiibiwa lazima na mimi niibiwe?
Babe sosoliso watu wanatuavya roho mpaka basi! Lol! Huyu loya unishukuru mie kumrudisha kundini, otherwise usingemjua kabisa! Muulize aloyafanya leo tupo hapa pub alifanya nini! Nakutizama tu mama unavyochonga! Ni vile ya watt hayanihusu. Ila nkiyamwaga hapa nna uhakika na life ban!

kwa nini umwambii ukweli sosoliso kuwa ana saidiwa?