Yalionikuta sina hamu na nyie wanaume

Yalionikuta sina hamu na nyie wanaume

Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume,

Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo Sasa Jana usiku nikachukua namba kumi niasave kwangu nikawa napiga moja baada ya nyingine.

Cha kushangaza namba zote wanapokea wanawake tofauti na nikiwauliza kuhusu mwanume wangu mimi kila moja anasema yupo in relationship nae, aisee niliishiwa nguvu, na nimelia sana.

Nimemconfront my mwanaume about the issue anakataa ansema Eti hao ni mademu za washkaji zake Yani kakataa kati katu, Yani wanaume mna kipaji cha kukata jamani.

Yaani am really hurt
Wanaume sina hamu tena kwenu zimeniishia kwa tabia zenu [emoji24][emoji17][emoji17][emoji17]
Alikukuta bikra?
 
Unapekuaje simu ya mwanaume wako! Tena Umechukua na namba ukapiga 😂😂
 
Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume,

Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo Sasa Jana usiku nikachukua namba kumi niasave kwangu nikawa napiga moja baada ya nyingine.

Cha kushangaza namba zote wanapokea wanawake tofauti na nikiwauliza kuhusu mwanume wangu mimi kila moja anasema yupo in relationship nae, aisee niliishiwa nguvu, na nimelia sana.

Nimemconfront my mwanaume about the issue anakataa ansema Eti hao ni mademu za washkaji zake Yani kakataa kati katu, Yani wanaume mna kipaji cha kukata jamani.

Yaani am really hurt
Wanaume sina hamu tena kwenu zimeniishia kwa tabia zenu 😭😔😔😔
Mbona hili la siku nyingi sana. Ku-save majina kama fundi bomba, mwenyekiti wa vikoba, shangazi Jamila etc... Na halina mwanamke wala mwanamme. Wote wanadanganyana.
 
Hivi Kwa mfano mwanaume kakupata Baada ya kukupa pesa, Nawe Kwa Akili zako unakaa kabisa ukiwaza kwamba upo pekeako Kwa uyo mwanaume?

Hujiulizi wadada wangapi wazuri kuzidi wewe wanataka pesa !!?

HUU NI MFANO.

Laiti Ningejua na wewe alikupataje Huyo mwanaume wako ningekuelekeza tatzo lilipoanzia.
 
Kwamba anadhani peke yake ndie anastahili kupewa pesa
 
Hakika ya Mungu,,uyo mtoto sitawahi mgusa🤣🤣
Wamuita babu yangu mtoto!?
🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️.
 
Pole Sana,je gwaride back 2 back ulikuwa unapaform vizuri🤔.

Kuwa mvumilivu kama mama Kwa dingie.
Hilo ndo tatizo la vitoto vya 2000🤣🤣🤣🤣
 
Halafu unakuta mwenye uzi nae mwanaume.
 
Idhini ya kubadilisha hayo majina ya kike kuwa ya kiume ameitoa wapi? Inabidi akaape mahakamani.
 
Wanaume tuko ladhi tukatwe kidole lakini sio kukubali.

Kuna jamaa alifuniwa akabahatika kusepa Sasa katika kukimbia akaacha shati lake mjuavyo kijijn watu hujuana hata Kwa mashati tu kuwa hili la fln .

Jamaa kuona vile akaenda Hadi kwake asbh na mapema akaamka kwenda kununua lile shati lilikuwa la Yanga.

Akiwa Bado mjini watu wakafika Kwa mke wake wakamuuliza habar za Mme wake akakiri Mme wake kalala hapa na ameondoka asbh hajui kaenda wapi.

Wakamwambia hii shati si mmeo akakubali Hadi akainusa na kuwa hakikishia ni yenyewe.

Muda sio mrefu jamaa huyu hapa kalowana na matope shati la Yanga analo na samaki aina ya kamogo kabeba.

Wakamuuliza hajui Kila kitu na anawashangaa huku anawafukuza kwake mke wake anamwambia lkn hili ni lako akamwambia Mimi ninajua shati langu ni Hili Hilo silijui.

USHAHIDI ukakosekana.
Lilikuwa shati au flana? Au siku hizi Yanga wameanza kutoa na mashati?🤣🤣
 
Back
Top Bottom