Nilikuwa naangalia bunge la mabadiliko ya katiba wakati wanaendelea kutoa michango yao kuhusiana na kubadilisha kanuni za upigaji kura ili wabadili kanuni,
wajumbe hawa wametoa kauli hizi ambazo ni tata kweli na kwa kuwa ni viongozi kwma!wenye nyadhifa walizoshika huwezi kuamini walichose
1. Paul Makonda, anasema-Mbowe kaenda South Africa kawaacha vijana ambao anawapa viroba waandamane mitaani, ameenda kupumzika kwenye hotel ya dola mia 700 kwa siku hukuanaacha vijana wakipigwa na polisi, kama huyu jamaa anayosema ni yakweli ni kwanini wanaotumia viroba wasiwakamate, mimi naona amewatukana watanzania kuwa wanakunywa viroba.
2. Pindi Chana-Anaomba sheria ipitishwe kwa sababu kama mgonjwa yupo India, Apolo hospital, wasipopitisha watamkoshasha haki, nikajiuliza swali, wenyewe si ndo wamejikosesha haki badala ya kujenga hospitali nzuri hapa wamejisahau, wameshindwa kujenga hospitali hapa hapa nchini!