Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

Atakwambia Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi
Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?

Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
 
Kumbe wewe hujatembelea hata twit za viongozi wengine huko duniani?

Bavicha kukoment upuuuzi kwenye twit ya Jpm na mitandao mingine haifanyi taifa kuwa limegawanyika, maana hao wote tunawajua ni pinga pinga.
 
Ulimchagua wewe na nani! Hebu jisemee wewe usijumuishe na wengine! Halafu acha kuhubiri amani huku umeficha upanga haki gani na kwa kipi mlitendea watanzania hapa[emoji116]bure kabisa ! Nkt
 
We mleta mada na mnyika mlikuwa mnataka magu afanye nini?
 
Sikubaliani na Mnyika katika hili. Kwenye hotuba yake leo raisi amewataka watu waendelee kuchukua tahadhari na kufanya maombi. Sasa Mnyika unasemaje kwamba raisi bado unakataa uwepo wa corona nchini?
Hizo tahadhari amezitoa kwa sababu gani? Hayo maombi anayoomba watu wafanye ni ya nini?
Hivi nyinyi mkoje? kama hauna cha kupinga si ukae kimya. Ya ndani ya chama chako mwenyewe yamekushinda, utayaweza ya taifa?
 
ndio mana kuna rais wa kenya alisema tofauti yake na rais wa TZ ni kua yeye anaongoza WATU na rais wa TZ anaongoza ng'ombe..... ile kauli inajidhihirisha sasa.
Kwa hyo Rais wa Kenya akisema kitu ndio lazima kiwe Cha kweli
Chiz kweli wewe
Kwa vile tu Alice bgea amegojea Kenya wewe kwako bjrudani
Unakubali kutukanwa unaweka meno nje
 
Kwa hyo Rais wa Kenya akisema kitu ndio lazima kiwe Cha kweli
Chiz kweli wewe
Kwa vile tu Alice bgea amegojea Kenya wewe kwako bjrudani
Unakubali kutukanwa unaweka meno nje
We ni NG'OMBE wa mkoa gani?
Ng'ombe mkubwa wewe!!
 
Kwa hyo Rais wa Kenya akisema kitu ndio lazima kiwe Cha kweli
Chiz kweli wewe
Kwa vile tu Alice bgea amegojea Kenya wewe kwako bjrudani
Unakubali kutukanwa unaweka meno nje
jaa povu lakini ukweli utabaki palepale
 
Sasa sisi utatufananisha na USA au Ulaya?

Je huko AUSTRALIA na New Zealand wamekufa watu wangapi mpka sasa?


Ni kwamba hakuna njia iliyofanikiwa kuzuia corona mpaka sasa hivi.
Hivi China kukoje sasa hivi? Hebu tueleze wewe unayejua.
 
Rais kashindwa kutumia nafasi iliyotokana na misiba hii kuonyesha uongozi na kuwafariji na kuwapa matumaini wananchi wake.

Badala yake, anazidi kushupaza shingo, kwa sababu tu hataki aonekane alifanya makosa katika maamuzi yake ya huko nyuma.

Inasikitisha sana.
 
Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?

Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
Hivi huwa mnaandika akili kaishika nani?

Mbona mnyika kasamalaizi kila kitu kuhusu hatua ya kuchukua au wewe huwa unasomaje kuanzia kati na kwenda zigzag!
 
Hakuna Covid Tanzani, ndiyo maana hatuvai barakoa nakuhakishia hata naenda kushika baliozi wa China mkono tukale chakula by JPM Chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…