Kimpyempye
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 723
- 1,157
Kunawa,distancing,barakoa, kufunga mashule, marufuku ya mkusanyiko.Hizi zilifanya vizuri hapahapa wala si sehemu nyingineHiyo haikuhusu. Taja njia yeyote ya kujikinga na corona iligofanya kazi sehemu nyingine