Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

Bado haijapiga mahali, ikishatikisa hapo kila goti litapigwa! Siku hiyo haiko mbali
Acha ujinga! Goti tunalipigwa na tutaendelea kulipiga kwa jina moja tu lipitalo majina yote ikiwa ni pamoja na corona yako! Jina hili pekee ni Yesu Kristo, hakuna jina jingine!
Magufuli na Tanzania, tumemchagua Mungu aliyehai kumpigia magoti, kamwe siyo corona!
Mungu tunaomba uturehemu sisi watanzania! Mungu tunaomba utuponye magonjwa yote! Mungu tunaomba uiponye nchi yetu Tanzania, amen! Mungu tunaomba uzidi kumlinda kumuongoza na kumbariki rais wetu mpendwa Mh Dr JPM na serikali zetu zote! Mungu tunaomba uzidi kuilinda nchi yetu Tanzania, amen!
 
Hao hawana la maaana kwamba wanataka atangaze lock down, rais wetu yuko sahihi kwa Asilimia 100
Hakuna mtu anayesema Rais afanya lockdown, watu wanataka Rais aseme pamoja na sala, lakini tupunguze mikusanyiko, tuvae barakoa na tahadhari.......lakini kwa sasa ukimsikiliza Mh. Rais inakuja akilini kwamba hakuna COVID na sio inayoua watu.......tunataka nani augue au afe ili tukiri kwamba Tanzania kama zilivyo Nchi zingine tumeathirika na COVID?
 
Mimi tahadhari naijua chief, tena ninazingati lakini mtaani wapo watu wanasubiri Mh. Rais aseme CORONA ipo na inaua, tuvae barakoa na kuepeuka misongamano kama mwaka jana, akitamka hilo ataokoa watu wengi sana.
Hayo yote hayawezi kusaidia kitu, sana sana watu watakufa kwa stress za maisha magumu
 
Tatizo tunachanganya mambo watu wa Imani na twende na Imani...

Ila Serikali na Wizara ya Afya iongeze mikakati ya kuhakikisha kila anayepata changamoto ana sehemu ya kukimbilia na kupata oxygen n.k., pia ufanyike mchakato wa haraka kuona hawa vurnerable people wanasaidiwa vipi (kama wapo katika uchunguzi wa hizo chanjo na waongeze bidii)

Nadhani binadamu yoyote akienda hospitali na dokta wake badala ya kumpa diagnosis na dawa na jinsi ya kufanya akimwambia tumuachie Mungu.., nadhani mgonjwa atafunga mlango na kutafuta dokta mwingine... (Wizara ya Afya sio Msikiti wala Kanisa..., Wafanye kazi zao kitaaluma Kwanza) Kwahio wakiwa wanafunga na kupiga magoti wasisahau kazi tuliyowatuma / wanayotakiwa kuifanya
 
hivi watanzania hatuwezi kujikinga hadi rais aseme au? let say tunataka lockdown je tutaweza kukabiliana na ugumu wa maisha utakaotokana na hiyo lockdown? Je, ni kweli hatuwezi kujikinga na kuchukua tahadhari bila kutegemea kauli ya rais? Huenda kweli rais alikosea kwenye approach yake kwenye second wave ya covid sasa kama yeye hataki kuonekana kua alikosea ndio iwe sababu ya sisi tuzubae tuendelee kufa kisa yeye hataki kutengua kauli yake??? Hebu tuache kua wajinga kila mtu awajibike kwa afya yake mwenyewe.
Yaani watu wanashangaza Sana
Mbona Rais hajawah kusema akasema vaeni konddomu mjikinge na ukimwi na watu wanavaa
Sasa covid mtu anasubir Rais amwambie
Elimu yoote waliyoipata mwKa jana
Yaani watanzania NI taifa lunalopenda kawama sana
 
Hakuna mtu anayesema Rais afanya lockdown, watu wanataka Rais aseme pamoja na sala, lakini tupunguze mikusanyiko, tuvae barakoa na tahadhari.......lakini kwa sasa ukimsikiliza Mh. Rais inakuja akilini kwamba hakuna COVID na sio inayoua watu.......tunataka nani augue au afe ili tukiri kwamba Tanzania kama zilivyo Nchi zingine tumeathirika na COVID?
Wewe SI ujilinde
Kwa hyo huchukui hatua unasubiri Rais atamke!!!
Utasubir sana
 
Kwa hyo unataka lockdown?
Kama kujikinga magu amekukataza?
SI ujikinge
Hakuna aliyezungumzia lock down. Hayo ni yako. Ila kuna mengi tu ambayo serikali inaweza kufanya zaidi ya kuhimiza nyungu. Kama nyungu inapigiwa kampeni why not other things?
 
Mtawala jeuri na mapigo 12 ya misri
kuna siku atasurender tu hata hivyo ameshaanza kulegea Ni vile tu anashindwa kubadilika anajishtukia atachekwa
 
Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?

Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
Awaongoze watanzania kwenye kujikinga na kupambana na hili janga
 
Mtu mzima Mungu kakupa na zawadi ya utimamu na nguvu za kuandika umepewa, unataka magufuli atangaze? Kama umeshaelewa mziki kwa nini usiucheze kwa nafasi yako? Wewe umeshajua Covid ipo na ni hatari kwa nini usianze wewe kuhimiza watu kuchukua tahadhari? Kwani lazima Raisi aseme🤔
 
Jitokeze hadharani useme kama hujaitwa MUHUJUMU UCHUMI.
Chama cha Mazezeta mna nini lakini
 
Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?

Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?

Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?

Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
Akubali tupate chanjo kama yeye alivyopewa chanjo ya wachina
 
Mtu mzima Mungu kakupa na zawadi ya utimamu na nguvu za kuandika umepewa, unataka magufuli atangaze? Kama umeshaelewa mziki kwa nini usiucheze kwa nafasi yako? Wewe umeshajua Covid ipo na ni hatari kwa nini usianze wewe kuhimiza watu kuchukua tahadhari? Kwani lazima Raisi aseme[emoji848]
Akivaa barakoa ataokoa maisha ya watu wengi. asijionyeshe ni muumini wa zile dini zinazokataza watu kwenda hospitali.
 
Back
Top Bottom