Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hyo unataka lockdown?Ni kweli. Watanzania tuko too ignorant mpaka inatia kichefuchefu.
Acha ujinga! Goti tunalipigwa na tutaendelea kulipiga kwa jina moja tu lipitalo majina yote ikiwa ni pamoja na corona yako! Jina hili pekee ni Yesu Kristo, hakuna jina jingine!Bado haijapiga mahali, ikishatikisa hapo kila goti litapigwa! Siku hiyo haiko mbali
Hakuna mtu anayesema Rais afanya lockdown, watu wanataka Rais aseme pamoja na sala, lakini tupunguze mikusanyiko, tuvae barakoa na tahadhari.......lakini kwa sasa ukimsikiliza Mh. Rais inakuja akilini kwamba hakuna COVID na sio inayoua watu.......tunataka nani augue au afe ili tukiri kwamba Tanzania kama zilivyo Nchi zingine tumeathirika na COVID?Hao hawana la maaana kwamba wanataka atangaze lock down, rais wetu yuko sahihi kwa Asilimia 100
Hayo yote hayawezi kusaidia kitu, sana sana watu watakufa kwa stress za maisha magumuMimi tahadhari naijua chief, tena ninazingati lakini mtaani wapo watu wanasubiri Mh. Rais aseme CORONA ipo na inaua, tuvae barakoa na kuepeuka misongamano kama mwaka jana, akitamka hilo ataokoa watu wengi sana.
Yaani watu wanashangaza Sanahivi watanzania hatuwezi kujikinga hadi rais aseme au? let say tunataka lockdown je tutaweza kukabiliana na ugumu wa maisha utakaotokana na hiyo lockdown? Je, ni kweli hatuwezi kujikinga na kuchukua tahadhari bila kutegemea kauli ya rais? Huenda kweli rais alikosea kwenye approach yake kwenye second wave ya covid sasa kama yeye hataki kuonekana kua alikosea ndio iwe sababu ya sisi tuzubae tuendelee kufa kisa yeye hataki kutengua kauli yake??? Hebu tuache kua wajinga kila mtu awajibike kwa afya yake mwenyewe.
No research....!!Juhudi gani wakati hakuna juhudi iliyozaa matunda
Wewe SI ujilindeHakuna mtu anayesema Rais afanya lockdown, watu wanataka Rais aseme pamoja na sala, lakini tupunguze mikusanyiko, tuvae barakoa na tahadhari.......lakini kwa sasa ukimsikiliza Mh. Rais inakuja akilini kwamba hakuna COVID na sio inayoua watu.......tunataka nani augue au afe ili tukiri kwamba Tanzania kama zilivyo Nchi zingine tumeathirika na COVID?
Hakuna aliyezungumzia lock down. Hayo ni yako. Ila kuna mengi tu ambayo serikali inaweza kufanya zaidi ya kuhimiza nyungu. Kama nyungu inapigiwa kampeni why not other things?Kwa hyo unataka lockdown?
Kama kujikinga magu amekukataza?
SI ujikinge
Bado haijapiga mahali, ikishatikisa hapo kila goti litapigwa! Siku hiyo haiko mbali
Awaongoze watanzania kwenye kujikinga na kupambana na hili jangaMuulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?
Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
Ndio wale wale wakina risari mwanzaMuulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?
Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
Jitokeze hadharani useme kama hujaitwa MUHUJUMU UCHUMI.Mtu mzima Mungu kakupa na zawadi ya utimamu na nguvu za kuandika umepewa, unataka magufuli atangaze? Kama umeshaelewa mziki kwa nini usiucheze kwa nafasi yako? Wewe umeshajua Covid ipo na ni hatari kwa nini usianze wewe kuhimiza watu kuchukua tahadhari? Kwani lazima Raisi aseme🤔
Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?
Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
Akubali tupate chanjo kama yeye alivyopewa chanjo ya wachinaMuulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?
Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
Hatujawahi kuwa na mfumo labda mvumo
Akivaa barakoa ataokoa maisha ya watu wengi. asijionyeshe ni muumini wa zile dini zinazokataza watu kwenda hospitali.Mtu mzima Mungu kakupa na zawadi ya utimamu na nguvu za kuandika umepewa, unataka magufuli atangaze? Kama umeshaelewa mziki kwa nini usiucheze kwa nafasi yako? Wewe umeshajua Covid ipo na ni hatari kwa nini usianze wewe kuhimiza watu kuchukua tahadhari? Kwani lazima Raisi aseme[emoji848]