Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?

Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
Kama hali iko hivyo huko wanakofanya juhudi, imagine kama wadingechukua hatua. Lakini Kumbuka kuwa kuna nchi kama Australia na New Zealand zimetumbia mbinu hizo effectively na Corona iko under control such that watu wana kwenda uwanja I kuangalia tennis. Science haidanganyi!!
 
Hao mazuzu mkuu watakuchosha
 
Kama hali iko hivyo huko wanakofanya juhudi, imagine kama wadingechukua hatua. Lakini Kumbuka kuwa kuna nchi kama Australia na New Zealand zimetumbia mbinu hizo effectively na Corona iko under control such that watu wana kwenda uwanja I kuangalia tennis. Science haidanganyi!!
Sasa sisi utatufananisha na USA au Ulaya?

Je, huko AUSTRALIA na New Zealand wamekufa watu wangapi mpka sasa?

Ni kwamba hakuna njia iliyofanikiwa kuzuia corona mpaka sasa hivi.
 
Bado haijapiga mahali, ikishatikisa hapo kila goti litapigwa! Siku hiyo haiko mbali
Ikimpiga yule aliyekuwa akienda kushinda kwake kwenye korido za mabibo na aliyegawiwa nyumba za zetu kama njugu am sure the alarming bells will ring and the notorious dude will start to act.

Kenge ni mbishi sana hadi msokonozee sindano ya kushonea viatu maskion na uisungushe violently hadi damu itoke ndio atasia.

Lord help us!
 
M/MUNGU anayajua mahitaji yetu hata kama hatujamuomba. Ukimuomba kwa imani anakupa hitaji lako. Shida inakuja unasumbuliwa na corona wewe unamuomba akutatulie changamoto ya upumuaji. Kama unataka hekima sali kwa mungu akupe hekima sio unaomba utajiri wakati kimoyo moyo unataka hekima. Mataga mwambie jiwe mwenyekiti wa CHAMA CHA MAZEZETA kwamba tuombe M/MUNGU atuepushie mbali hii COVID19, COVID 20 na COVID21 na sio CHANGAMOTO YA UPUMUAJI.
M/MUNGU hajaribiwi kama wakulima wa KOROSHO.
 
Sasa sisi utatufananisha na USA au Ulaya?

Je huko AUSTRALIA na New Zealand wamekufa watu wangapi mpka sasa?

Ni kwamba hakuna njia iliyofanikiwa kuzuia corona mpaka sasa hivi.
Statistics ziko wazi. Unaweza Google ukajua wamekuwa wangapi.

Ila point ya msingi ni sisi kukaa tukiomba Mungu atusaifie bila kufanya juhudi yeyote ya kujisaodia wenyewe.
 
hivi watanzania hatuwezi kujikinga hadi rais aseme au? let say tunataka lockdown je tutaweza kukabiliana na ugumu wa maisha utakaotokana na hiyo lockdown? Je, ni kweli hatuwezi kujikinga na kuchukua tahadhari bila kutegemea kauli ya rais? Huenda kweli rais alikosea kwenye approach yake kwenye second wave ya covid sasa kama yeye hataki kuonekana kua alikosea ndio iwe sababu ya sisi tuzubae tuendelee kufa kisa yeye hataki kutengua kauli yake??? Hebu tuache kua wajinga kila mtu awajibike kwa afya yake mwenyewe.
 
Statistics ziko wazi. Unaweza Google ukajua wamekuwa wangapi.

Ila point ya msingi ni sisi kukaa tukiomba Mungu atusaifie bila kufanya juhudi yeyote ya kujisaodia wenyewe.
Juhudi gani wakati hakuna juhudi iliyozaa matunda
 
Back
Top Bottom