Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Raisi asipovaa na watendaji wake hawatakiwi kuvaa?Hii protocol imetulia!Hajavaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raisi asipovaa na watendaji wake hawatakiwi kuvaa?Hii protocol imetulia!Hajavaa
Hivi hyo kazi siku hizi kaacha?Nika zani gwajima ata mfufua
JK ni kiongozi haswa... nawaona VP na PM hofu zimewajaa kweli; wangependa kuvaa barakoa ila wafanyeje wakati "hakuna Corona"? Kula matapishi kugumu asikuambie mtu. Namwona Mzee Kikwete na wananchi wengine wazalendo wa kweli wametinga barakoa hawataki longolongo za wanasiasa; afya ni suala binafsi. johnthebaptist, huo u-Dr. kwa marehemu Kijazi umemtunuku wewe ama?
Hana ngebe hizo,yeye anafufua Misukule sio wafu, hivyo hana tofauti na akila Kimbunga waganga wa kienyeji.Nika zani gwajima ata mfufua
Mbona mimi sijahudhuria na nipo nadunda tuHivi mfano mmoja wa watendaji wa serikali akikacha hii Hafla sababu ya imani yake haba.Atatimuliwa kazi?
Mafua ya kubana ni ugonjwa gani wakuu,ni tofauti na pneumonia?.
Mbona mimi sijahudhuria na nipo nadunda tu
Isaya 55:8-9 Maana mawazo yangu si mawazo yenu Wala njia zangu asema BWANA.kwa mahaana Kama vile mbingu zilivyo juu Sana kuliko nchi kadhalika njia zangu zi juu Sana kuliko njia zenu na mawazo yangu kuliko mawazo yenu. jifunze kuishi kwa upendo ujui uendakoWho is next? Stay tuned
Mkuu usimkufulu Mungu Kuna siku utamwitaji. alafu nazani unafahamu kuwa Mungu ni mmojakituko...makamu wa rais, waziri mkuu, naibu spika hawajavaa barakoa ili kuunga mkono kauli ya mungu wa chatoo kwamba tz hakuna "kolona"!!!.
lakini familia yoote ya Kijazi wamevaa barakoa!!!.
Kifo akikimbiwa as long as siku yako imefika uwezi kuzuiaInaumiza na kushanagaza Sana viongozi wetu wote wa serikali hawajavaa barakoa wakati wanamuaga mh balozi kijazi. Rais mstàhafu kikwete amevaa ila makamu wa rais waziri mkuu naibu spika jaji mkuu na makamu wa Zanzibar wako exposed. Watu wa protokali mnawafanya viongozi wetu wawe exposed na vulnerable.
Mkuu punguza HOFU na chuki kifo kipo na akikwepeki ata ukizuie vipi Kama tu siku yako imefikaJk yuko smart anajiongeza, hawa wengine wanaogopa kutumbuliwa lakini body language yao tu unajuwa waoga mbona mikono hawapeani ila kuvaa barakoa wanaona issue, raia wa kawaida na wana kwaya wamejongeza wameshaona tunapotezwa. Shame kwa viongozi wa serikali. kusalimiana no ila barakoa.... ujinga wa kiwango cha lami
Kwa hiyo anayejinyonga siku yake imefika au??Mkuu punguza HOFU na chuki kifo kipo na akikwepeki ata ukizuie vipi Kama tu siku yako imefika