Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

Vipaumbele vya hili taifa vimekuwa ni kuuza Sura....., tusipoangalia tutakuta tunainvest zaidi kwenye kuagana wakati mtu ume-RIP kuliko kusaidiana wakati tupo hai ?

Nina uhakika hizo bajeti / pesa / muda na usumbufu kwa wafiwa hata ungemuuliza marehemu huenda angesema hizo pesa mpeni mke wangu na ndugu zangu ziwasaidie....
Isaya 55:8-9 Mahaana mawazo yangu si mawazo yenu Wala njia zangu asema BWANA.
 
Kuombewa na tapeli wa kutumia neno la Mungu, ni kumfungia marehemu milango ya mbinguni. Mshirikina Gwajima mnampa nafasi kama hiyo?

Mungu na misukule, wapi na wapi! Mbona wamemtenda hivi marehemu? Afadhali niombewe na muumini mwenzangu wa kawaida kuliko na mshirikina Gwajima.
Mkuu punguza chuki na HOFU
 
Kifo akikimbiwa as long as siku yako imefika uwezi kuzuia
kuna vifo vya kujitakia na vya siku ambayo ameipanga Mungu. just because watu wanakufa haimaanishi usichukue hatua nope.
unaweza ukajinga leo?je ni mipango ya Mungu ujinge nope?
 
kuna vifo vya kujitakia na vya siku ambayo ameipanga Mungu. just because watu wanakufa haimaanishi usichukue hatua nope.
unaweza ukajinga leo?je ni mipango ya Mungu ujinge nope?
Mkuu kifo ni fumbo akuna awezaye kutegua ama kufahamu atakufa vipi. Mtegemee Mungu ni yeye pekee anaye jua mwisho wako
 
Kwa hiyo anayejinyonga siku yake imefika au??
Kifo ni fumbo akuna awezaye kutegua ama kufahamu atakufa vipi. Kikubwa mtegemee Mungu ni yeye pekee anaye jua mwisho wako
 
Mh. Polepole alisema Corona ichague moja;
1. Iondoke Tanzania au
2. Ikae kwa ustaarabu.....................

Bado najaribu kufikiria chaguo la corona mpaka sasa
 
Kuombewa na tapeli wa kutumia neno la Mungu, ni kumfungia marehemu milango ya mbinguni. Mshirikina Gwajima mnampa nafasi kama hiyo?

Mungu na misukule, wapi na wapi! Mbona wamemtenda hivi marehemu? Afadhali niombewe na muumini mwenzangu wa kawaida kuliko na mshirikina Gwajima.
Kabisa...Yani wanakufuru...huyu gwajima hata kwenye mitandao yuko akitiana...so sad..
 
Kifo ni fumbo akuna awezaye kutegua ama kufahamu atakufa vipi. Kikubwa mtegemee Mungu ni yeye pekee anaye jua mwisho wako
Nakubaliana na wewe kuna siri kubwa na ni Mungu tu anayepanga ila Mungu kamuumba binadamu tofauti ndio maana akampa daraja kubwa akatupa maarifa na elimu nakutaka tumuombe yeye kwa mazuri na mabaya. Wala hakuna wakuepuka kifo ila ukiumwa unatakiwa ukatafute matibabu ndio maana kuna wanapona na wanaofariki. Mtu akifariki baada ya juhudi zote za binadamu unasema ashukuriwe Mungu tumefanya tuliyoweza ila Mungu kataka tofauti ila sikubaliani mfano mzee wako sana labda ana miaka hata 100 anumwa halafu useme kishakuwa mzee sana tu mwachie Mungu hapana utamtibu mpaka dakika ya mwisho unafanya unaloweza kufanya.
 
Mkuu kifo ni fumbo akuna awezaye kutegua ama kufahamu atakufa vipi. Mtegemee Mungu ni yeye pekee anaye jua mwisho wako
hakuna mtu ambae hamtegemei Mungu. lakin isiwe chanzo chq kutokuchukua hatua kujilinda. huo utakuwa ni uzembe wako mwenyewe.
 
Instagram media - CLeG7_FnsKk ( 640 X 640 ).jpg
 
Back
Top Bottom