wilmar
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 416
- 1,113
Isaya 55:8-9 Mahaana mawazo yangu si mawazo yenu Wala njia zangu asema BWANA.Vipaumbele vya hili taifa vimekuwa ni kuuza Sura....., tusipoangalia tutakuta tunainvest zaidi kwenye kuagana wakati mtu ume-RIP kuliko kusaidiana wakati tupo hai ?
Nina uhakika hizo bajeti / pesa / muda na usumbufu kwa wafiwa hata ungemuuliza marehemu huenda angesema hizo pesa mpeni mke wangu na ndugu zangu ziwasaidie....