Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Anatupeleka lini AMERIKA Hutu mbunge wetu????Kama askofu na mbunge!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatupeleka lini AMERIKA Hutu mbunge wetu????Kama askofu na mbunge!
Za kuambiwa amechanganya na zakeJk kajiongeza ki Legend.
Mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee ili viongozi na wananchi wapate fursa ya kutoa heshima za mwisho.
Zoezi la kutoa heshima za mwisho pale Karimjee itaongozwa na mkuu wa nchi Rais Magufuli
Up dates:
Viongozi wakuu wameshaketi sehemu zao na sasa anasubiriwa mh Rais Magufuli awasili ili shughuli rasmi ianze.
View attachment 1706115View attachment 1706116View attachment 1706117
Rais Magufuli ameshawasili na utaratibu unaanza rasmi na itaanza misa ya kumuombea marehemu.
Hakuna anaezingatia tena kuchukua tahadhari baada ya zilw kauli zake kuwa corona tulishaishinda.Too late kufanya nini
Sema kwamba wewe ndio huchukui tahadhari. Mimi na wengine tunachukua tahadhari sana huku tukiomba MunguHakuna anaezingatia tena kuchukua tahadhari baada ya zilw kauli zake kuwa corona tulishaishinda.
Wat wakamwaga maji tiririka walioanzisha viwanda vya kutengeneza sanitizer vikakosa wateja.
Naonansasa mkombozi atakuwa chanjo.
Hudhuria clinic kuna mafunzo ya afya watakueleza wataalam wa afya.Hivi barakoa zina faida gani zaidi ya kukaba hewa tu
Mdogo wake amesema yuko mbali sijui mbali wapi hukoJamani kuna mtu kamuona Ndungai?? au changamoto naye
Hakika huu ndio ushauri kuntu.Sema kwamba wewe ndio huchukui tahadhari. Mimi na wengine tunachukua tahadhari sana huku tukiomba Mungu
Linda afya yako mkuu
Dini inatumika vibaya sana zama hizi, si viongozi wa dini, siasa na hata serikali wote wanafananaGwaji Boy ni Mhuni tu fulani ....Kama kweli si basi afanye ile miujiza yake ya kufufua na kujifufua.......!!
Nika zani gwajima ata mfufua
Rais ameongea vizuriMpango anaendelea na mazoezi ya kifua. Corona si mchezo. Ona Magufuli kakaa sehemu peke yake kabisa.
Labda mbinguniMdogo wake amesema yuko mbali sijui mbali wapi huko