Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Ameshamtuma Kabudi afuate Chanjo.Bado haijapiga mahali, ikishatikisa hapo kila goti litapigwa! Siku hiyo haiko mbali
Watakuja kujichanja wenyewe. Jiwe ni 🐍🐍🐍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshamtuma Kabudi afuate Chanjo.Bado haijapiga mahali, ikishatikisa hapo kila goti litapigwa! Siku hiyo haiko mbali
Unataka upewe tahadhali gani usiyoijua?ko wewe hujui.unajua ngalau mwaka ilitolewa tahadhali je mwaka huu vip na watu wanapukutika hujui
Kama hali iko hivyo huko wanakofanya juhudi, imagine kama wadingechukua hatua. Lakini Kumbuka kuwa kuna nchi kama Australia na New Zealand zimetumbia mbinu hizo effectively na Corona iko under control such that watu wana kwenda uwanja I kuangalia tennis. Science haidanganyi!!Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?
Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
Inatakiwa ipige kwenye utosiBado haijapiga mahali, ikishatikisa hapo kila goti litapigwa! Siku hiyo haiko mbali
Hao mazuzu mkuu watakuchoshaKama hali iko hivyo huko wanakofanya juhudi, imagine kama wadingechukua hatua. Lakini Kumbuka kuwa kuna nchi kama Australia na New Zealand zimetumbia mbinu hizo effectively na Corona iko under control such that watu wana kwenda uwanja I kuangalia tennis. Science haidanganyi!!
Sasa sisi utatufananisha na USA au Ulaya?Kama hali iko hivyo huko wanakofanya juhudi, imagine kama wadingechukua hatua. Lakini Kumbuka kuwa kuna nchi kama Australia na New Zealand zimetumbia mbinu hizo effectively na Corona iko under control such that watu wana kwenda uwanja I kuangalia tennis. Science haidanganyi!!
Ikimpiga yule aliyekuwa akienda kushinda kwake kwenye korido za mabibo na aliyegawiwa nyumba za zetu kama njugu am sure the alarming bells will ring and the notorious dude will start to act.Bado haijapiga mahali, ikishatikisa hapo kila goti litapigwa! Siku hiyo haiko mbali
Ni kweli. Watanzania tuko too ignorant mpaka inatia kichefuchefu.Hao mazuzu mkuu watakuchosha
Elimu fupi mkuuNi kweli. Watanzania tuko too ignorant mpaka inatia kichefuchefu.
Statistics ziko wazi. Unaweza Google ukajua wamekuwa wangapi.Sasa sisi utatufananisha na USA au Ulaya?
Je huko AUSTRALIA na New Zealand wamekufa watu wangapi mpka sasa?
Ni kwamba hakuna njia iliyofanikiwa kuzuia corona mpaka sasa hivi.
Juhudi gani wakati hakuna juhudi iliyozaa matundaStatistics ziko wazi. Unaweza Google ukajua wamekuwa wangapi.
Ila point ya msingi ni sisi kukaa tukiomba Mungu atusaifie bila kufanya juhudi yeyote ya kujisaodia wenyewe.
Mimi tahadhari naijua chief, tena ninazingati lakini mtaani wapo watu wanasubiri Mh. Rais aseme CORONA ipo na inaua, tuvae barakoa na kuepeuka misongamano kama mwaka jana, akitamka hilo ataokoa watu wengi sana.Unataka upewe tahadhali gani usiyoijua?
Kwa hyo amelitaja bure jina la Mungu?
Acheni unafiki wenu. Hotuba ipo wazi na tumetakiwa kuchukua hadhari.