Kuombewa na tapeli wa kutumia neno la Mungu, ni kumfungia marehemu milango ya mbinguni. Mshirikina Gwajima mnampa nafasi kama hiyo?Tuseme alikuwa muumini wake? Hizo sasa sifa mbaya. Mpeni marehemu heshima kulingana na mahali alikuwa anaabudu.
Gwajima hana luturijia ya mazishi wao kazi kuongea ongea tu. Mbona lakini.
Barakoa ya nini na wakati wamesha chanjwaInaumiza na kushanagaza Sana viongozi wetu wote wa serikali hawajavaa barakoa wakati wanamuaga mh balozi kijazi. Rais mstàhafu kikwete amevaa ila makamu wa rais waziri mkuu naibu spika jaji mkuu na makamu wa Zanzibar wako exposed. Watu wa protokali mnawafanya viongozi wetu wawe exposed na vulnerable.
Alikuwa mpiga kura wake!
Anaongoza sala ya kumuombea marehemu badala ya sala ya kumfufua!Mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee ili viongozi na wananchi wapate fursa ya kutoa heshima za mwisho.
Zoezi la kutoa heshima za mwisho pale Karimjee itaongozwa na mkuu wa nchi Rais Magufuli
Up dates;
Uliomfelisha Halima James Mdee!Kwenye uchaguzi gani?
Wewe,Baba yako,Mama yako,Familia yako yote na ukoo wako wote.Who is next? Stay tuned
Mkuu kwa msululu wa watoto uliozaa nje ya ndoa yako inaonyesha hutumii condom unapozini; sasa kwa unafiki mjubwa unataka kuwa mwalimu wetu wa matumizi ya barakoa. Kama wewe na yule yaani wawili tu mlishindwa kutumia condom ama ya kike au ya kiume nani anaweza kuwambia maelfu wale kutumia barakoa na akaweza?Mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee ili viongozi na wananchi wapate fursa ya kutoa heshima za mwisho.
Zoezi la kutoa heshima za mwisho pale Karimjee itaongozwa na mkuu wa nchi Rais Magufuli
Up dates;
Acha wawe exposed tuzidi kupeperusha bendera nusu mlingoti.Inaumiza na kushanagaza Sana viongozi wetu wote wa serikali hawajavaa barakoa wakati wanamuaga mh balozi kijazi. Rais mstàhafu kikwete amevaa ila makamu wa rais waziri mkuu naibu spika jaji mkuu na makamu wa Zanzibar wako exposed. Watu wa protokali mnawafanya viongozi wetu wawe exposed na vulnerable.
Uliomfelisha Halima James Mdee!
UnasikitishaHivi barakoa zina faida gani zaidi ya kukaba hewa tu
Gwaji Boy ni Mhuni tu fulani ....Kama kweli si basi afanye ile miujiza yake ya kufufua na kujifufua.......!!Hatari, Askofu Rashidi na laana alizokua nazo akitia miguu kwenye mlango wa Karimjee, malaika wote watakimbia na kutokomea kusikojulikana.
Simuoni kabisa, nipo mbele ya TV hapaJamani kuna mtu kamuona Ndungai?? au changamoto naye
Afazali hizo tangawizi na malimau yanaua wadudu.Barakoa shida tupu.Inakaba pumzi. Kuna duka nilipita wanatangaza BARAKOA ZIPO ZILE ZA VITAMBAA 3mawaziri wote wameweka barakoa mfukoni kumuogopa jiwe, wakitoka hapo breki ya kwanza ni kwenda kujifukiza na kunywa lita kadhaa za tangawizi!.