Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Wewe unafikiriajevipi waambata kutoka ubalozini hawana tena msaada? kwenye hii kesi?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unafikiriajevipi waambata kutoka ubalozini hawana tena msaada? kwenye hii kesi?!
MATAGA medula zenu zipo sehemu za kukalia, nakusamehe bure.
Endeleeni na ushahidi wa uongo.
Mit 6:19 SUV
Shahidi wa uongo asemaye uongo; Naye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu.
Afisa wetu huyu, muacheni, huwezi jua kama usiku alitumiwa na kama alitumiwa kwa iasi gani.Nakuona hapo ukiendelea kufuatilia kesiView attachment 2014041
Huyo ni msaidizi wa oc Cid Kwa hiyo jiandae kukamatwa.Nakuona hapo ukiendelea kufuatilia kesiView attachment 2014041
kwamba uhuru wa kutoa maoni umezikwa na CCM?Huyo ni msaidizi wa oc Cid Kwa hiyo jiandae kukamatwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Poleni..Huyo ni msaidizi wa oc Cid Kwa hiyo jiandae kukamatwa.
Nenda kamfunge wacha kelele wee mbuzi usiyenamachunga..Huyo gaidi anatupotezea muda watanzania ale mvua 30.
Mtandao wake wamelipua Uganda.
Wako mahakamani nyuma ya key board kama mimi na wewe popote ulipo kesi hii unahudhuria.Hivi kweli mbona sioni picha za beberu huko mahakamani siku hizi?
Wameenda kukutafutia misaada wewe ombaombaHivi kweli mbona sioni picha za beberu huko mahakamani siku hizi?
Unamtafuta beberu unashida Gani nae, fika kwa korti utawaona.Wako mahakamani nyuma ya key board kama mimi na wewe popote ulipo kesi hii unahudhuria.
Rufaa ya Sugu ilikuwa je?Hata Sugu mlisema hivyo hivyo.
Siku ya hukumu mkatoka mnalia.
Mbona sasa upande wa Jamhuri wanakuwa wakali hawataki kisemwe nini kimeonekana kwenye diary?
[/QUOTE
Wanaogopa makorokocho yao,mpaka ya Rau Madukani kijiwe cha mbege yataibuliwa.
Kwani pgo inasemaje, hata King'aa anajua mziki was kuzuia live updates.Naona Live updates zikizuiliwa muda sio mrefu
Mkuu hii ni nondo ya MWEZImwanzoni simlikuwa mnasema hakuna ushahidi? eti mboe aachiwe huru!!
sasa mbona haja kubwa inawabana?!
mawakili wana haha huku na kule!!
aise!
kumbe ushahidi ulikuwepo.....basi tuache Umma usikilize kesi ikinguruma kama ilivyo kuwa ya Sabaya.
tusiiibabaishe Mahakama kama kweli mboe hakuwa muhalifu mahakama itaamua lkn sio kwa kufanya vurugu na kuleta ukaidi mbele ya mahakama.
mawakili na wafuasi wa mboe lazima wajifunze ustaarabu.
Ushahidi wakuandaa na kukariri na kupiga chabo ndani ya kizimba.Mkuu hii ni nondo ya MWEZI
Mboana wanahaha kuzuia usipokeleweUshahidi wakuandaa na kukariri na kupiga chabo ndani ya kizimba.