Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

Huyo ni msaidizi wa oc Cid Kwa hiyo jiandae kukamatwa.
kwamba uhuru wa kutoa maoni umezikwa na CCM?
Yaani, tutakuwa sasa tunaripo tu pale nyani amkmbaka mwanadamu, maana kila kitu CCM na MATAGA hamtaki kiripotiwe.
 
Sasa hivi ni mwendo wa kuedit nyaraka mahakama na serikali lao moja, hawa mawakili wa utetezi waongee na mbowe wajitoe Hakuna kesi hapo ni uzuzu tu unaendelea.
 
mwanzoni simlikuwa mnasema hakuna ushahidi? eti mboe aachiwe huru!!
sasa mbona haja kubwa inawabana?!
mawakili wana haha huku na kule!!
aise!
kumbe ushahidi ulikuwepo.....basi tuache Umma usikilize kesi ikinguruma kama ilivyo kuwa ya Sabaya.
tusiiibabaishe Mahakama kama kweli mboe hakuwa muhalifu mahakama itaamua lkn sio kwa kufanya vurugu na kuleta ukaidi mbele ya mahakama.
mawakili na wafuasi wa mboe lazima wajifunze ustaarabu.
Mkuu hii ni nondo ya MWEZI
 
Back
Top Bottom