Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 18, 2021. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 22, 2021

Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 18, 2021. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 22, 2021

Sasa majaji na wao wasijichoshe, hii kesi wanatakiwa wasiwe wanaisikiliza kila siku, watuhumiwa wake siku 14 kama sheria inavyo tamka. wawe wanaletwa kila baada ya siku 14.
Wewe utakua uko kazini ili kuvuruga public opinion au naturally a fool

Hujui impact ya hi kesi kwa taifa hili, inaweza kusabaratisha serikali kabisa, au kufanya chama tawala kutawanyika au Amani ya nchi kupotea kabisa the earlier the better kwa vyovyote hi kesi imelizike haraka iwezekanavyo.
 
Huyu atakuwa jaji wa mchongo, hakuna kitu anaweza kukifanyia maamuzi mpaka akapitie notes zake za shule [emoji16][emoji16]
 
Jamani anae jua hi Falsafa (DOCTRINE) ya 'Funtus Officio' naomba atuelezea inasema je, ili tujifunze hi kesi imekua muhimu sana kwa a cademicians
Functus officio is a Latin maxim which means that the jurisdiction of the designated authority comes to an end once he has performed his functions for which he was appointed. Once the award is delivered to the parties, the arbitral tribunal cannot review their own award and becomes functus officio.

Kwa muktadha wa kesi hii mawakili wa utetezi wanasema kidhibiti kinachotakiwa kuwa- kilishwa mahakamni hakiwezi kupokelewa kwa sababu kilisha tumika kwenye kesi ndogo na mahakama kukitolea uamuzi na kwa kufanya hivyo imejifunga.

Upande wa serikali wanasema kielelezo hicho kilitumika kwenye kesi ndogo ndani ya kesi kubwa- hivyo mlango wa kutumiwa tena upo na hiyo FUNCTUS OFFICIO hajafikiwa kwa hiyo haiwezi kuwabana wao wala mahakama
 
Mbowe na genge lake wanapaswa wawe na nidhamu ya kuheshimu Mahakama.

Kama wataendelea kuleta mchezo wa kitoto wa kuichafua mahakama kwa kuleta Sarakasi zisizo na kichwa wala miguu watajiweka pabaya sana.
Zandrano..

Kati ya mawakili wa utetezi na hawa waupande wa Jamuhuri, ni nani anapaswa kuheshimu mahakama kwa mpaka hapa tulipo fikia katika kesi hii??

umesahau zile document zilizo kua store ya mahakama, kuja kuonekana zipo mahakamani, na zinaombwa tena zipokelewe kama ushahidi.

huoni wao ndo wanaiweka mahakama mahali pa aibu, ionekane mahakama na wao jamhuri wapo kitu kimoja katika hili..
 
aliomba Kuingia Kama ID na PW2 anaomba Kiingie Kama Kielelezo. Nadhani hawakuelewa suala la Pingamizi letu labda nirudie kidogo. Mahakama Ilishaitwa Kusema Jambo Au Kupokea Exhibit hii. Na katika hilo Mahakama ilisha Exercise haki yake ya Kusema...
Huyu Judge kama sheria alisoma basi kuna nondo aliziruka. Mimi nasema ukiamua kujua kitu basi ujue kweli. Miaka ile nikiwa nasoma nakumbuka ukiniuliza principles za physics na laws zote zilikuwa kichwani.

Ukileta swali chakwanza nilikua natambua which principle or law applicable. Nilikua sijibu maswali siku ya pili la hasha.

Nawaambia hapa kuna ngoma mdundiko inachezwa sjiu mwisho wake lini. Tunataka msomi aonyeshe usomi wake na hata avutie watu kusoma, pasnashaka vingnevo futenii kesi!!
 
MSISAHAU NDUGU ZANGU"UGAIDI" HUU WA MBOWE AMBAO UNGEGHARIMU TSHS 600,000 NA BASTOLA MOJA YENYE RISASI 3 HAUKUWA DETECTED NA BALZI ZA UK WALA US HAWAKUTOA HATA WARNING...MBOWE NA MAKOMANDOO NI HATARI SANA
 
Mbowe na genge lake wanapaswa wawe na nidhamu ya kuheshimu Mahakama.

Kama wataendelea kuleta mchezo wa kitoto wa kuichafua mahakama kwa kuleta Sarakasi zisizo na kichwa wala miguu watajiweka pabaya sana...
KWa iyo na wewe umeona umeandika KWa kutumia akili Sana, hivi nafikili Kuna siku akili zenu huwa mzifungia kabatini mnazikuta jion, mahakama sio chama cha ccm , KILA kitu kinaenda kisheria, shida ni pale mnapotaka akili zenu za kiccm lazimisha ziwe zilezile za kimahakama,
 
Wewe utakua uko kazini ili kuvuruga public opinion au naturally a fool

Hujui impact ya hi kesi kwa taifa hili, inaweza kusabaratisha serikali kabisa, au kufanya chama tawala kutawanyika au Amani ya nchi kupotea kabisa the earlier the better kwa vyovyote hi kesi imelizike haraka iwezekanavyo.
Ina impact gani? Mbona unakuza mambo? Who is Mbowe- mwizi mmoja
 
Hii KESI Kwa Jaji huyu NI kubwa kwake. Ila Imani yangu Kama ataamua kuomba ushauri Kwa majaji WENZAKE. Ukweli ataiona. Haki itatendeka.
 
Sasa majaji na wao wasijichoshe, hii kesi wanatakiwa wasiwe wanaisikiliza kila siku, watuhumiwa wake siku 14 kama sheria inavyo tamka. wawe wanaletwa kila baada ya siku 14.
Unaweza kutuonesha hiyo sheria inayosema hivyo?
 
Ndugu wa JF,nimeifuatilia KESI HII Kwa UMAKINI,bila ushabiki,hakika niyakutengenezwa. Katika KESI mdogo iliyopita site tumeshuhudia MASHAHIDI walivyo pishana ushahidi wao. SASA ona Wanataka kupitiaha vitu ambavyo havimo,ili Tu ionekane wameenda kosa. Jamani hebu tujionee huruma.

Hivi Sisi Watanzania tunataka nini? Ya Uganda mmeyaona,bado mnatamka vitu ambavyo hatuna. Jamani tumuogope Mwenyezimungu.yuko Mshairi mmoja aliandika.

"Kusema si suluhisho kwa yote; yapo yanayohitaji uvumilivu na kukaa kimya." "Juhudi za kuitengeneza leo kwa tajriba ya dhulma na madhara ya jana ndio msingi wa kesho yenye insafu; maisha ni amali za viumbe."hebu site tumuombe MH Raisi aifute. Ili isiwe AIBU yetu kesho.
 
Mbowe na genge lake wanapaswa wawe na nidhamu ya kuheshimu Mahakama.

Kama wataendelea kuleta mchezo wa kitoto wa kuichafua mahakama kwa kuleta Sarakasi zisizo na kichwa wala miguu watajiweka pabaya sana...
Tungekuelewa kama ungepangua hoja za mawakili wa utetezi kwa hoja za kisheria, otherwise ulichoandika ni porojo tu.
 
Falsafa (DOCTRINE) ya) 'Funtus Officio

Functus officio is a Latin maxim which means that the jurisdiction of the designated authority comes to an end once he has performed his functions for which he was appointed..

Pia
The doctrine of functus officio
(that is, having performed his office)

holds that once an arbitrator renders a decision regarding the issues submitted, he lacks any power to reexamine that decision.
 
Back
Top Bottom