mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,855
Wewe utakua uko kazini ili kuvuruga public opinion au naturally a foolSasa majaji na wao wasijichoshe, hii kesi wanatakiwa wasiwe wanaisikiliza kila siku, watuhumiwa wake siku 14 kama sheria inavyo tamka. wawe wanaletwa kila baada ya siku 14.
Hujui impact ya hi kesi kwa taifa hili, inaweza kusabaratisha serikali kabisa, au kufanya chama tawala kutawanyika au Amani ya nchi kupotea kabisa the earlier the better kwa vyovyote hi kesi imelizike haraka iwezekanavyo.