Hakuna chochote kilichobadilika wewe unaangalia kichama na siyo kisheria.Mimi tangu kesi inaanza mwanzo kipindi mbowe anakamatwa.nilisema kosa alilofanya mbowe NI kushirikiana na hao wanajeshi wengi hawakunielewa.
Sasa wanajionea wenyewe.
Kama alikuwa anataka ulinzi alitakiwa atafute kampuni za ulinzi sio hao.
Hao Wana viapo vya UTII.
Ila watu walinibishia humu
Du! Hii ni chuki sana hii!Salaam Wakuu,
Leo tarehe 26/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea.
Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani.
Kujua kesi ilipoishia soma: Yaliyojiri kesi ya Mbowe 24/01/2022: Shahidi wa 11, H4347 Goodluck amaliza ushahidi wake. Shahidi wa 12 kuendelea ...
Hakuna chochote kilichobadilika wewe unaangalia kichama na siyo kisheria.
Yaani wewe na hawa mashahidi wa mchongo, hamna tofauti! Kwa vile JF ya sasa, inazoa kila kitu, UVUMILIWE tu!Hatuna haja ya kupiga ramli vyovyote vile swali hili si la kuulizwa Urio
Kweli mkuu nivumilie tu kama hali ya hewa. Tunajua JF mlishaiteka nyie CHADEMA lakini na sisi tusio CHADEMA tumoYaani wewe na hawa mashahidi wa mchongo, hamna tofauti! Kwa vile JF ya sasa, inazoa kila kitu, UVUMILIWE tu!
Comte hii nukuu yako ni kama vile imemaliza kila kitu na inaunga mkono hoja ya shahidi "mtaalam" wa mawasiliano aliyesema yeye kama polisi aliyekula kiapo kama angeliona kiashiria chochote cha ugaidi asingeacha kukiandika katika ripoti yake.Wakili wa Serikali: Baada ya Kusema Wapo tayari?
Shahidi: Laki Moja na tisini na Tisa Iliyobakia...
Luteni mzima unaongoza Askar 90 tena special force anapigwaje na polisi? Tanzania Ni nchi ya maajabu kweli aisee. Si ndio hawa makomandoo huwa tunaaminishwa kwamba Ni watu hatar Sana sasa imekuwaje luten Wa jeshi la wananchi tena commandoo anapigika kirahisi hivi?Huyu ni yule kina Bwire walisema walimuona akipigwa kule TAZARA. Huenda amelazimishwa kutoa ushahidi wa mchongo kwa usalama wake.
😂😂😂Kwenye hii kesi shahidi anaandaliwa kama anaenda kufanya NECTA wakati hujui Kibatala atatoa maswali kwenye topic ya Geometry? Algebra? hujui akiomba kielelezo namba fulani swali linalofuata shahidi anachanganyikiwa kwamba atumie calculator au four figure table, shahidi akienda kwenye desa/kibuti anatoa majibu ya swali la kwanza kumbe aliulizwa swali la tatu........
Hatuna jeshi ndugu yangu, tena huyo luten Kina Adamoo walikir walimuona Tazara akilia baada ya kuchezea kichapo kutoka kwa Kina Kingai Na kundi lakeSwali dogo tu. Askari JWTZ tena wa cheo cha luteni akipata tetesi au ushahidi wa jinai au kuhatarishwa kwa usalama wa nchi anatakiwa kuripoti wapi?
Sisi raia bila shaka ni kuripoti polisi au hata kiongozi wa mtaa.
Napata mashaka sana.
WOTE NI POLISI- POLISI NDIO WENYE MAMLAKA YA KUKAMATASwali dogo tu. Askari JWTZ tena wa cheo cha luteni akipata tetesi au ushahidi wa jinai au kuhatarishwa kwa usalama wa nchi anatakiwa kuripoti wapi?
Sisi raia bila shaka ni kuripoti polisi au hata kiongozi wa mtaa.
Napata mashaka sana.
Mkuu Urio anaunga mkono ushahidi wa mtaalam wa mawasiliano na ule wa Kaaya. KESI IMESIHA HAPO. Ingekuwa Ulaya au USA Mh. Kibatala angetupa taulo mahakamani na kuomba huruma ya mahakamaComte hii nukuu yako ni kama vile imemaliza kila kitu na inaunga mkono hoja ya shahidi "mtaalam" wa mawasiliano.
Kumbuka katika ushahidi waliotoa watuhumiwa hakuna hata mahali waliopo kiri kuonesha nia au kutenda ugaidi...
This is my position!2. Ni kesi ya ukweli na Urio alikuwemo kwenye ugaidi na hakutoa taarifa polisi mpaka baada ya kuona mpango umegundulika.
Kwa Mimi Nafikiri namba moja ndio sahihi.
I get the point. Think it this way. Suppose Luteni Urio ni real culprit, kama akina FM. Yaani, ni kweli alikuwa fully involved kwenye mkakati husika wa ugaidi--alikuwa ameikubali deal hiyo (labda kwa fadhila ya kulipwa pesa na cheo and so forth)...
Hiyo sio hoja wanajeshi wangapi wamepindua nchi za boss wao, hi stori ni ya kutunga hamna ukweli wowote.Mimi tangu kesi inaanza mwanzo kipindi mbowe anakamatwa.nilisema kosa alilofanya mbowe NI kushirikiana na hao wanajeshi wengi hawakunielewa.
Sasa wanajionea wenyewe.
Kama alikuwa anataka ulinzi alitakiwa atafute kampuni za ulinzi sio hao.
Hao Wana viapo vya UTII.
Ila watu walinibishia humu
Hivi ukitumiwa shs 500,000 kwenye M-pesa unaweza kutoa 499,000 kweli?
Kwamba homeboy alitumiwa laki 5 na ikatoka 499000 makato buku
Mbona leo makasiriko ni mengi hivi?Wewe nenda mahakamani uwaletee CCM wenzio mnayotaka kusikia.
Hiyo sio hoja wanajeshi wangapi wamepindua nchi za boss wao, hi stori ni ya kutunga hamna ukweli wowote.
Ni kama vile unavyowekewa mtego wa rushwa ili mtandao mzima upatikane!Kama kweli mbowe alimwambia hayo kwanini sasa wasingemkamata tu yeye Mbowe mapema kuliko kuwatafuta na kuwaingiza mkenge vijana wa watu ambao aliwadanganya kuna kazi ya ulinzi? Haoni kama na yeye alishiliki kwenye hii kesi kwa asilimia 100%
Kama kweli mbowe alimwambia hayo kwanini sasa wasingemkamata tu yeye Mbowe mapema kuliko kuwatafuta na kuwaingiza mkenge vijana wa watu ambao aliwadanganya kuna kazi ya ulinzi? Haoni kama na yeye alishiliki kwenye hii kesi kwa asilimia 100%