comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Dunia imejua tuna askari wazalendo na viongozi wenye uchu wa madaraka... shukrani sana Mkuu; endelea kuihabarisha dunia mwenendo wa kesi hii muhimu duniani kwa sasa! Tuwaombee washtakiwa Mungu awafanyie wepesi kesi hii ya ajabu iishe salama na iwe rejea kwa vizazi na vizazi jinsi gani walioaminiwa kulinda Katiba na sheria wanaweza kutumia vyombo vya dola kudhulumu haki za wenye haki.
Wakili wa Serikali: Shahidi hebu tueleze Wewe alipokueleza hayo Maneno, Ni Kipi kilikupelekea ukamkubalia
Shahidi: Kwa Experience yangu Kuna kitu kinaitwa Tactical appreciation
Wakili wa Serikali: Experience yako Kwenye Nini
Shahidi: Kwenye Ulinzi
Wakili wa Serikali: Tactical appreciation ni Kitu gani hicho
Shahidi: Kuna Binadamu, Kuna Mimi na Tanzania, lakini Mimi si kitu Kuliko Tanzania, Freeman Ni Ndugu yangu, Tayari Alishakuja na Ile Nia, Kwamba Unataka nimkatalie, lakini Mimi huenda ni Plan B au C. Je Nikimkatalia atachukua hatua gani? Je, nitakuwa ni solution matatizo yasitokee, Naweza Kumkatalia lakini kumbe ana Backup plan nitakuwa sija solve tatizo.