Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika mapokezi na mkutano wa Tundu Lissu Sumbawanga


Hatakuwa na awamu ya pili.. sasa anaenda kupumzika kwao Chato alikojilimbikizia mali na miradi kibao.
 
Hatakuwa na awamu ya pili.. sasa anaenda kupumzika kwao Chato alikojilimbikizia mali na miradi kibao.
Hilo Jambo halipo leo, wala halipo kesho wala keshokutwa, Lisssu ndiyo ataenda kupumzika Ubeligiji kwa mahawala zake.
 

..mimi ningekuwa DJ ningeweka beat peke yake halafu nampa-mic TL aimbe huo wimbo wa Bob Marley.

..wakati mwingine siyo lazima kila mkutano amwage sera, hata kuwapa good time waliohudhuria mkutano is good campaign.
 
God save lisu
 
Lissu ni funga kazi. Kila kona anakopita ni halaiki ya watu. Sumbawanga mmetuwakilisha vyema sana.
Kwa umati nilioshuhudia mkutano wa Sumbawanga, sehemu ambayo siyo ngome kabisa ya upinzani, tokea mfumo wa vyama vingi, urejeshwe tena hapa nchini, mwaka 1992,hakika mwaka huu, hao CCM wajiandae kisaikolojia kuachia madaraka ya nchi kwa amani!

Kinyume cha hapo kama hao CCM, watafanya kiburi chao cha kawaida, cha kujiona wao ndiyo waliopewa hati miliki ya kutawala nchi hii, hakika mahakama ya kimataifa, ya The Hague itakuwa inawaita ili wakajibu mashtaka ya "kupindua" matokeo halali waliyopiga wananchi katika sanduku la kura
 
Anadai hakuna Uhuru,

mbona yeye alipo hapo anaongea tena anatema mashudu na hakuna anayehangaika nae,

Ni uhuru upi huo Wa Lisu anaouzungumzia??
 
Uwepo wa Lissu amani imetawala nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…