Si haba Mh. Tundu Antiphas Lissu.
Nadhani hii ndio Kimbunga Kumba kumba alichosema Membe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si haba Mh. Tundu Antiphas Lissu.
Utasikia wanasema Lissu anajulikana tu Tarime, Arusha, mwanza, Mbeya , Iringa, na Tunduma sasa akishinda maeneo haya plus Sumbawanga si kashakuwa Rais?Lissu ni funga kazi. Kila kona anakopita ni halaiki ya watu. Sumbawanga mmetuwakilisha vyema sana.
Kama mwakilishi wa wananchi aliyechaguliwa kwa kura anaweza kumiminiwa risasi mchana kweupeee na wahusika wasikamatwe, huo si uhuru, ni ukandamizaji, udikteta na utumwa...Anadai hakuna Uhuru, mbona yeye alipo hapo anaongea tena anatema mashudu na hakuna anayehangaika nae,
Ni uhuru upi huo Wa Lisu anaouzungumzia??
CCM kujaribu kuzuia TSUNAMI kwa mkono mbona ni sawa na uhayawani! Safari hii kiboko chao kipo na walie tu!Utasikia wanasema Lissu anajulikana tu Tarime, Arusha, mwanza, Mbeya , Iringa, na Tunduma sasa akishinda maeneo haya plus Sumbawanga si kashakuwa Rais?
Sasa mbona Marekani huko Rais wa nchi aliuwawa mchana kweupe na mpaka leo hakuna aliyekamatwa.Kama mwakilishi wa wananchi aliyechaguliwa kwa kura anaweza kumiminiwa risasi mchana kweupeee na wahusika wasikamatwe, huo si uhuru, ni ukandamizaji, udikteta na utumwa...
Utafiti huu ulifanyika lini na wapi na ukubwa wa sample ulikuwa upi?
Hadi kufika 28/10/2020, kura zake zitakuwa kama zile zile, 32%
Uwepo wa Lissu amani imetawala nchini
Mguse anukeAnadai hakuna Uhuru,
mbona yeye alipo hapo anaongea tena anatema mashudu na hakuna anayehangaika nae,
Ni uhuru upi huo Wa Lisu anaouzungumzia??
Askofu Lissu; mnamkataa shetani na mambo yake yote na kazi zake zote? Waamini ndio Twazikataa!!Kiitikioa: tumeibiwa kura
Team.Kuna timu ya vijana wa Lumumba FC inatengenezwa kukupiga wiki 2 za mwisho...
Haitakiwi kushuka chini ya 90%
Viva Magu
Rais gani huyo? Acha kukariri, hiyo kazi mwachie jiwe anayejua hadi idadi ya samaki baharini na Gadafi kuwa Rais wa Kuwait!Sasa mbona Marekani huko Rais wa nchi aliuwawa mchana kweupe na mpaka leo hakuna aliyekamatwa.
Askofu Lissu; mnamkataa shetani na mambo yake yote na kazi zake zote? Waamini ndio Twazikataa!!
Lissu the GREATEST Lissu the GENIUS.
PoweeeeerPeopleeeeeeeeeeees!
Hakuna Jiwe kutangazwa,HAKI haiombwiPamoja na kwamba Jiwe atatangazwa ila huku kukubalika kwa Lisu kitapelekea mambo mengi sana kurekebishwa katika hii awamu ya pili. Private sector Jamaa haendi kuziuwa kama alivyofanya sasa.... We SUMA JKT kwa sasa mpaka barabara wanafagia wao wakati hizo ndio kazi za vikundi mitaani ili wajikwamue kwa kipato
The mzee wa MIGA longolongo
Viva Magu
Heil JPM