Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika mapokezi na mkutano wa Tundu Lissu Sumbawanga

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika mapokezi na mkutano wa Tundu Lissu Sumbawanga

Sasa mbona Marekani huko Rais wa nchi aliuwawa mchana kweupe na mpaka leo hakuna aliyekamatwa.

Nino akino aliuawa mchana kweupe uwanja wa ndege hakuna aliyekamatwa.

Hakuna mtu aliyekuwa immuned na matatizo, binadamu yeyote anaweza patwa na lolote wakati wowote.

Nimekupa mifano hiyo kukuonesha kuwa tukio la lisu sio la kwanza kutokea hapa duniani kuna makubwa zaidi ya hilo na maisha yaliendelea.

Hatuwezi kurudishwa nyuma kila wakati kujadili tukio moja tu miaka yote as if hakuna mengine ya kujadili.

Ni kweli kapigwa risasi pole sana, but we have to move on na kwa sasa tunataka kusikia hoja za namna ya kukwamuana kiuchumi kama Taifa.
Walimuua wao wenyewe na nyie mlitaka kumuua pia
 
Anadai hakuna Uhuru,

mbona yeye alipo hapo anaongea tena anatema mashudu na hakuna anayehangaika nae,

Ni uhuru upi huo Wa Lisu anaouzungumzia??
Mkuu alisema sasa ruksa kufanya siasa mara tu shughuli za uchaguzi huu zilipoanza; baada ya hapo atafunga tena. Huu ni uhuru wa muda tu
 
tuache utani LISSU ni habari nyingine,ninachokiona kuna mtu anasubiri ibara 41(7) ya Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania tu.Huu ndio utakua muarobaini wake lakini kwa sanduku la kura ni ngumu kusema ila Lissu habari nyingine
 
CCM imeifilisi Nchi;nchi inadaiwa madeni ya kutisha.
 
Back
Top Bottom