Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika mapokezi na mkutano wa Tundu Lissu Sumbawanga

Walimuua wao wenyewe na nyie mlitaka kumuua pia
 
Anadai hakuna Uhuru,

mbona yeye alipo hapo anaongea tena anatema mashudu na hakuna anayehangaika nae,

Ni uhuru upi huo Wa Lisu anaouzungumzia??
Mkuu alisema sasa ruksa kufanya siasa mara tu shughuli za uchaguzi huu zilipoanza; baada ya hapo atafunga tena. Huu ni uhuru wa muda tu
 
tuache utani LISSU ni habari nyingine,ninachokiona kuna mtu anasubiri ibara 41(7) ya Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania tu.Huu ndio utakua muarobaini wake lakini kwa sanduku la kura ni ngumu kusema ila Lissu habari nyingine
 
Neema ya Watanzania wazalendo ni Lissu
Tumchague kwa kura zote
 
CCM imeifilisi Nchi;nchi inadaiwa madeni ya kutisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…