Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

ULIULIZA SWALI NA NILIJIBU SIKUPATA COMMENT YAKO.

Ahaaa Zitto Jr, kumbe wewe shabiki lia lia, unapenda bila kuwa na sababu na unachukia bila kuwa na sababu. Kumbe, marekebisho ambayo yataondoa mfumo wa kufanya jambo kwa njia ile ile kila mara huku ukitegemea matokeo tofauti.

"Unakwenda kujisaidia bila toilet paper baada ya kumaliza unavaa suruwali bila kujisafisha halafu anategemea usinuke". Ziito mkiwa wengi sana ukombozi utachelewa sana.
Mkuu mie ni mtu objective sana sio fuata upepo. CHADEMA nimeipenda for a reason, tokea nipo Darasa la sita enzi hizo tuna wabunge wawili tu. Na kikubwa walivyotetea maslahi ya wananchi bungeni so nmependa utendaji kazi wao sio organaizesheni ya chama eg majengo,Uongozi,mikakati n.k

Kuhusu post yako, ule ulikua ushauri zaidi hasa kwa uongozi wa chama. So sikuona haja ya kujibu maana ushauri ni mtizamo wa mtu. Mfano unasema wawape wagombea wanasheria ili wajaze fomu ila hujiulizi tokea 1995 hujawahi sikia mgombea wa CHADEMA kaenguliwa kisa fomu ila wote wamekosea 2020? Kiwanga kagombea mara ngapi? Ila ni 2020 tu hajui kujaza fomu? Unasahau fomu huwa zinahakikiwa kabla hazijapokelewa!!

Maadam ni ushauri I have no much to comment.
 
View attachment 1595493
Hatimaye adhabu aliyopewa Tundu Lissu imemalizika Jana.

Mgombea huyo anayeungwa mkono na mamilioni ya Watanzania leo ataendelea na Kampeni yake katika mikoa ya Dodoma katika maeneo ya Chamwino na Singida katika maeneo ya Ikungi na Manyoni.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekuwa ni kichekesho Cha Dunia kutokana na upendeleo wa waziwazi kuibeba CCM na kuikandamiza Chadema.

Tume hiyo imekataa hata kupokea malalamiko ya Chadema dhidi ya Mgombea wa CCM kwa kukiuka Maadili ya Uchaguzi.

Lissu anatarajiwa kupata mapokezi ya kishindo kutokana na hamu kubwa ya wananchi kutaka kumsikiliza baada ya kudhulumiwa haki yake ya kufanya kampeni kwa siku 7 ili kulinda CCM.

-------- ------- -------
Yanayojiri muda huu saa 5 asubuhi

Wananchi ktk jimbo la Bahi kata ya Bahi mkoa wa Dodoma baada ya kusikia mhe Rais Tundu Lissu atapita maeneo hayo kuelekea Singinda wameamua kumsubiri barabarani tangia saa moja asubuhi ili angalau waone sura yake tu

Jimbo hili tume ya CCM ilimuengua mgombea UBUNGE wetu kwa SABABU za kijinga kabisa!!

=====

Mkutano mdogo wakampeni wa mheshimiwa Tundu Lissu kwenye viwanja vya Bahi, Jimbo la wilayani Bahi - Dodoma baada ya kusimamishwa na wananchi barabarani wakati akipita kuelekea Manyoni na Ikungi

Mheshimiwa Tundu Lissu ameongea kwa mara ya kwanza na wananchi wa Bahi baada ya Kifungo cha Siku Saba..

Mheshimiwaa Tundu Lissu akiwa Bahi amesema haya..

1. Bahi kukosa mgombea Ubunge kwa sababu za tume, tume imeengua Mgombea wetu ili CCM ipite bila kupitwa. (2015 ni mgombea mmoja tu alioenguliwa lakini 2020 wagombea wa Chadema ni 63 wa ubunge.) Kuengua watu imekuwa njama ya CCM kwenye uchaguzi mkuu huu.

2. Kukosekana kwa uhuru wakuongea, kuhoji mambo yakimaendeleo kwenye nchi hii. Sasa Chadema itakapochukua nchi lazima irudishe uhuru wa wananchi.

3. Jimbo la Bahi watu wengi ni wafugaji ila kuna msululu wa kodi amabazo hazisaidii wafugaji Sasa tarehe 28 mkapige kura kukataa hizi kodi.

4. Uchaguzi mkuu huu mkapige kura kukataa wizi wa vitambulisho vya ujasiriamali. Léo wanasema vitambulisho unaweza pata mkopo sasa Kitambulisho hakina jina wala picha utapata mkopo wanani

5. Uchaguzi mkuu huu ni muhimu kwenu watu wa Bahi, sasa mkapige kura kuamua hatima yenu, Bahi mkapige kura kuamua kukataa utapeli na udhalimu unaofanywa na MaCCM

6. Wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye kupiga kura kumchagua madiwani wote waliopitishwa na mpige kura nyingi za Uraisi mpaka washindwe kuiba. Ilituweke mambo yetu sawa.

Ahsanteni Bahi. Tutarudi tena hapa Tarehe 17 tunamkutano mkubwa hapa.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Bahi waliosimama barabarani kuzuia msafara wake uliokuwa njiani kuelekea Manyoni kuendelea na mikutano ya kampeni, ikiwa ni siku ya kwanza baada ya zuio la kampeni zake kwa muda wa siku 7.
View attachment 1595619
View attachment 1595719
View attachment 1595720
View attachment 1595721
View attachment 1595722
View attachment 1595723
View attachment 1595724
View attachment 1595725

View attachment 1595726
View attachment 1595727
View attachment 1595728

CCM imechangia kudumaza ufahamu wa watanzania.​

FB_IMG_1602328461531.jpg
FB_IMG_1602328450837.jpg
FB_IMG_1602328442720.jpg
FB_IMG_1602328461531.jpg
FB_IMG_1602328450837.jpg
FB_IMG_1602328442720.jpg
 
Hapo ndo pakujiuliza bwashee.
ila watanzania tushamjua Lissu ni kibaraka wa mabebberu na atopata kura za watanzania.
Ina maana Mimi na familia yangu tutakaompa kura Lisu ni wahutu?.acha ubaguzi dogo nchi sio ya ccm.
 
Kumbukeni kumshauri ili ofisi yake ya uwakili iliyopo sinza aifagie - kuanzia 01 Novemba, 2020 ataweza kuanza kazi ya uwakili - siasa imefika mwisho ila maisha yanaendelea
Chagua Lisu,tupate katiba Mpya kwanza nchi isonge mbele,ili wananchi ndio tuwe mabosi Wa Rais, kwa kuwa bila sisi kumchagua haendi ikulu.lakini katiba ya sasa ilivyombovu Rais akishaapishwa tu anaanza kutufokea.huo uwenyekit Wa mtaa ulioupata mwaka Jana kwa kupita bila kupingwa usikufumbe macho we mlugaluga.
 
Kwanza hawa washabiki wa Lissu wangejiuliza tangu tuingie mfumo wa vyama vingi 1992, hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyeletwa na wazungu na kusaidiwa waziwazi kama Lissu, kuna nini nyuma ya pazia!?
Anasaidiwa ili msiweze KUMCHAPA MVUA ZA RISASI tena, saa ya ukombozi ni sasa.
 
Nani alimchapa?? mbona siku hizi anazurura hovyo mpaka kariakoo na hajachapwa??
Sasahivi dunia yote macho kwake, mtawezaje kufanya huo ujinga tena? Hamjipendi? Chagua Lissu watoto wako wawe na uhakika wa kuishi, usalama ni muhimu mno kuliko hayo "MAFLIOVER" NA MADARAJA.
 
Tanzania msaliti wa Nchi km lissu hana nafasi, akadeke ubeligiji
Ww jamaa tumia verified name tu au weka namba ya simu Kama Mayala.
Maana ushapita level ya buku Saba unajituma sana.

Haki huinua TAIFA
 
Back
Top Bottom