Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

Hizo picha mumechukua za miaka ya 60 hakuna kamera yoyote hata ya Nokia tochi ya Leo inayoweza toa picha kama hizo za Lisu mlizoweka

So lazima mpost. Leo naona mkuu wa idara ya uchakachuaji ya chadema atakuwa msabato Leo hayuko kazini mkaona muokoteze hizo picha za miaka ya 60 museme za Lisu Leo!!!

Wakuu niseme wazi Mimi binafsi nimechoka na picha za uchakachuaji za chadema hadi inakera .Picha gani hizo za kuokota majalalani? Tena ya miaka ya 60
 
Mmeshaanza na kazi ya utabiri kama hayati Sheikh Yahya sio? Eti anatarajiwa kupata mapokezi "Makubwa" ha ha ha ha huijui Dodoma wewe.
Kwamba Dodoma ikoje au ina nini?

Mji wa kishamba haijawi tokea una tabu ya kila kitu saa tatu hujaenda kwako upo mjini na huna gari tafuta lodge ulale utaenda kesho!

Maji siku hizi yanatoka kwa mgawo!
Embu tuambie Dodoma ina nini zaidi ya upumbavu na uombaomba?
 
Nawashukuru wazungu sana. Baada ya Lissu kupigwa risasi 16, Ndugai anasema Magufuli alizuia fedha za matibabu ili afe. Wazungu kwa huruma zao walimchukua akiwa Nairobi na kumtibu, na Mungu akanyoosha mkono wake Lissu ni mzima. Wenye roho za kishetani, hiyo imewauma na hata humu unaona jinsi wanavyotaabika. Wangefurahi kumzika. Badala yake yu mzima na anapambana na watesi wake kwenye jukwaa la siasa. Mungu aliyemwokoa Lissu na kifo cha risasi 16 atamwokoa na dua zenu mbaya enyi wanafiki na wauaji!!!!
Wazungu huwa ni watu wa kuchungulia, waliona Lissu ni nyota inayong'aa.Tizama anavyowachezesha ngoma, Necccm, Policcm, Tissuvccm, msajiliccm uhamiajiccm TRAccm .Wote wanahaha.
 
Kibongo cha Magufuli lako day hadi Kafka kilo 40 endelea kukaza spana
 
Lissu karibu huku Dar hot una za Magufuli anatuambia habari za Mauno na wanawake weupe
 
Magufuli kampeni Zake wamejaa vinyamkela mondi akimaliza wale wachache wanaondoka na kumuacha
 
Hizo picha mumechukua za miaka ya 60 hakuna kamera yoyote hata ya Nokia tochi ya Leo inayoweza toa picha kama hizo za Lisu mlizoweka

So lazima mpost. Leo naona mkuu wa idara ya uchakachuaji ya chadema atakuwa msabato Leo hayuko kazini mkaona muokoteze hizo picha za miaka ya 60 museme za Lisu Leo!!!

Wakuu niseme wazi Mimi binafsi nimechoka na picha za uchakachuaji za chadema hadi inakera .Picha gani hizo za kuokota majalalani? Tena ya miaka ya 60
BAHI

04B692C2-7473-4E94-B9EC-C3E134BD5CC0.jpeg
 
Hizo picha mumechukua za miaka ya 60 hakuna kamera yoyote hata ya Nokia tochi ya Leo inayoweza toa picha kama hizo za Lisu mlizoweka

So lazima mpost. Leo naona mkuu wa idara ya uchakachuaji ya chadema atakuwa msabato Leo hayuko kazini mkaona muokoteze hizo picha za miaka ya 60 museme za Lisu Leo!!!

Wakuu niseme wazi Mimi binafsi nimechoka na picha za uchakachuaji za chadema hadi inakera .Picha gani hizo za kuokota majalalani? Tena ya miaka ya 60
Duh we jamaa una frustration kichwani. Huwa unaandika nonsense mpka najiuliza hvi una familia? Wanakuita Baba?
1960? Like serious? Haaahaaa na mtazidi kuumia tu
 
Pia wenye shule za sekondari wanaweza kuajiri mwalimu wa chemistry, kufundisha organic na inorganic chemistry.
Huko organic hataweza experience mdogo,Mimi na miliki ka chuo cha computer studies basi kipindi hiki baada ya std 7 kumaliza mtihan huwa tunafungua pre form one.
 
Duh we jamaa una frustration kichwani. Huwa unaandika nonsense mpka najiuliza hvi una familia? Wanakuita Baba?
1960? Like serious? Haaahaaa na mtazidi kuumia tu

ULIULIZA SWALI NA NILIJIBU SIKUPATA COMMENT YAKO.

Ahaaa Zitto Jr, kumbe wewe shabiki lia lia, unapenda bila kuwa na sababu na unachukia bila kuwa na sababu. Kumbe, marekebisho ambayo yataondoa mfumo wa kufanya jambo kwa njia ile ile kila mara huku ukitegemea matokeo tofauti.

"Unakwenda kujisaidia bila toilet paper baada ya kumaliza unavaa suruwali bila kujisafisha halafu anategemea usinuke". Ziito mkiwa wengi sana ukombozi utachelewa sana.
 
Kumbukeni kumshauri ili ofisi yake ya uwakili iliyopo sinza aifagie - kuanzia 01 Novemba, 2020 ataweza kuanza kazi ya uwakili - siasa imefika mwisho ila maisha yanaendelea
 
Back
Top Bottom