secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Ww subiri tukukunywe huna maana!Msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww subiri tukukunywe huna maana!Msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Anajua kiingereza au hajui
Hizi ni dalili za kupanic!Sawa hawara wa lowasa anayejinyea na kutetemeka tetemeka Kama zezeta....hata nguvu ya kunya Hana....
NilishangaaNipo Singida nitafika people's stadium japokuwa waliubadili jina na eti kuwa bombardiers
Kwamba Dodoma ikoje au ina nini?Mmeshaanza na kazi ya utabiri kama hayati Sheikh Yahya sio? Eti anatarajiwa kupata mapokezi "Makubwa" ha ha ha ha huijui Dodoma wewe.
Wazungu huwa ni watu wa kuchungulia, waliona Lissu ni nyota inayong'aa.Tizama anavyowachezesha ngoma, Necccm, Policcm, Tissuvccm, msajiliccm uhamiajiccm TRAccm .Wote wanahaha.Nawashukuru wazungu sana. Baada ya Lissu kupigwa risasi 16, Ndugai anasema Magufuli alizuia fedha za matibabu ili afe. Wazungu kwa huruma zao walimchukua akiwa Nairobi na kumtibu, na Mungu akanyoosha mkono wake Lissu ni mzima. Wenye roho za kishetani, hiyo imewauma na hata humu unaona jinsi wanavyotaabika. Wangefurahi kumzika. Badala yake yu mzima na anapambana na watesi wake kwenye jukwaa la siasa. Mungu aliyemwokoa Lissu na kifo cha risasi 16 atamwokoa na dua zenu mbaya enyi wanafiki na wauaji!!!!
BAHIHizo picha mumechukua za miaka ya 60 hakuna kamera yoyote hata ya Nokia tochi ya Leo inayoweza toa picha kama hizo za Lisu mlizoweka
So lazima mpost. Leo naona mkuu wa idara ya uchakachuaji ya chadema atakuwa msabato Leo hayuko kazini mkaona muokoteze hizo picha za miaka ya 60 museme za Lisu Leo!!!
Wakuu niseme wazi Mimi binafsi nimechoka na picha za uchakachuaji za chadema hadi inakera .Picha gani hizo za kuokota majalalani? Tena ya miaka ya 60
Pia wenye shule za sekondari wanaweza kuajiri mwalimu wa chemistry, kufundisha organic na inorganic chemistry.Mi naweza nikamuajiri huyo Lissu kuwa mwanasheria wa salon zangu
Duh we jamaa una frustration kichwani. Huwa unaandika nonsense mpka najiuliza hvi una familia? Wanakuita Baba?Hizo picha mumechukua za miaka ya 60 hakuna kamera yoyote hata ya Nokia tochi ya Leo inayoweza toa picha kama hizo za Lisu mlizoweka
So lazima mpost. Leo naona mkuu wa idara ya uchakachuaji ya chadema atakuwa msabato Leo hayuko kazini mkaona muokoteze hizo picha za miaka ya 60 museme za Lisu Leo!!!
Wakuu niseme wazi Mimi binafsi nimechoka na picha za uchakachuaji za chadema hadi inakera .Picha gani hizo za kuokota majalalani? Tena ya miaka ya 60
Huko organic hataweza experience mdogo,Mimi na miliki ka chuo cha computer studies basi kipindi hiki baada ya std 7 kumaliza mtihan huwa tunafungua pre form one.Pia wenye shule za sekondari wanaweza kuajiri mwalimu wa chemistry, kufundisha organic na inorganic chemistry.
Misukule ya LumumbaMsaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Duh we jamaa una frustration kichwani. Huwa unaandika nonsense mpka najiuliza hvi una familia? Wanakuita Baba?
1960? Like serious? Haaahaaa na mtazidi kuumia tu
Chagueni chadema maendeleo hayana chamaKumbukeni kumshauri ili ofisi yake ya uwakili iliyopo sinza aifagie - kuanzia 01 Novemba, 2020 ataweza kuanza kazi ya uwakili - siasa imefika mwisho ila maisha yanaendelea